Able_Mwamba
Member
- May 11, 2017
- 77
- 77
masuala ya maji vs risasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
masuala ya maji vs risasi.
Hapa ndio Sheria ya Takwimu inachukua mkondo wake viongozi wahusika kila mmoja anatoa takwimu zinazomfurahisha.Hapa Sheria ya TAKWIMU ichukue mkondo wake..
Mi nimeanza asubuhi ya leo...nitafanya hivi kutwa mara 3 View attachment 1427452
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sio kudhalilishana ni nini? Wenye taaluma zao wanashauri mengine kiongozi wako anashauri vingine huko ni kuingilia kaz za watuHata Mimi nilitegemea Barua Ya Kujiuzulu Chap. Ummy na Majaliwa Ubunge unawatosha, Uwaziri umekuwa Fedheha!
Kama hiyo dawa inayopulizwa mwilini siyo Sanitizer (>65% alcohol).Rais Magufuli yuko sahihi kwa 100%
Vipi Spain, Italy, France, USA wanafanya LOCKDOWN?Vipi Spain, Italy, France, USA wanafanya fumigation?
Umeambiwa watahudhuria watu kumi tu. Unataka kuweka na watu wa TV wakurusha live tena, hizo nafasi 10 waachiwe ndugu wa karibu tu.Mazishi ya Mama Rwakatare Ni saa ngapi? Yangerusha Kwenye TV kwa faida ya waumini wake.