Hamtaki kucopy na kupaste hatua za kujikinga dhidi ya Corona badala yake mnakuja na za kwenu kujifukiza kwenye 100°C!Acheni utani na masuala ya afya za watu!
Haswa. Kuiga isiwe alama ya Watanzania. Tuigwe.
"scientific ...proven" Kuna mengi katika katika masuala ya tiba ambayo yameigwa kutoka barani Afrika. Kulikuwa na hisia, au hata ushauri wa kuwa HydroChloquine inawezekana kutumika-ukumbuke hakuna tiba maalum ya strain hii (covid ya mwaka 2019)yaani katika familia ya corona- na hivyo basi majaribio yanaendelea kwa "mikorogo' ya madawa tofauti.
Kwanini isiwe mvuke na hata muorabaini?Huko nyuma kuna uzi ambao ulidai kuwa watu wa magharibi wanashangwaza na kutokuenea kwa kasi kirusi hicho barani mwetu, na kwa vile kulikuwa na taarifa kuwa ipo uwezekano, nasisitiza "uwezekano" wa tiba kwa "HydroChloquine" ndio maana nikabandika kule, labda kwa sababu tumekuwa tunatumia chloroquine, basi uwezekano wa kuimarika au kujiimarisha kwa kinga zetu.. na kwa vile mie sio mtaalam sijui kama HydroChloroquine na Chloroquine ni sawa...sidhani hivyo, lakini nikaenda kusema kuwa labda malaria ilitusaida, a "blessing in disguise"
...vile vile moja ya matakwa ya dablu hech ho ni kuona nchi zinashirikiana katika kubadialshana data na hata mikorogo na majaribio yake kwene tiba, sioni sababu yeyote kwanini tusiigwe, au kuwa mstari wa mbele katika majaribio haya, iwe mvuke, mwarobaini au hata dawa za kimasai! kwani vyanzo vingi vya madawa ya chupa vimetoka mitini!
Ndugu we baki na ulimbukeni, kama unataka, au usaidie kuondokana nao. Asante,
Aluta Continua