Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Wako sahihi wote, mmoja anaamini data haziwekwi viziri na pengine ndio msingi wa mabadiliko ya katibu. wasaidizi waongeze umakini.
 
Uzuri corona haichagui, tuone kama atajificha Chato miezi yote hiyo maana kwa jinsi anavyolihandle si ya kuisha Leo ama kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Malaria na TB na kipindupindu na vifo vya akinamama wanaojifungua ni vya kwisha leo? Mbona mnajitoa ufahamu. Iko siku watu watapata kitu kinachoitwa heard immunity. Hata mafua yanauwa watu lakini sisi hatufi kwa flu kwakuwa tuna kinga.
 
Usiku mwema jamani tusisahau kujifukiza
IMG_20200422_231607.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu December 2019 China Kulikuwa na ugonjwa na wachina na watanzania walikuwa wanakwenda na kurudi China kwa shuguli mbalimbali hadi hapo March 2020 hali ilipokuwa mbaya huko China. Hivi kwaakili yako hiyo unadhani Kama tungejifungia ndani pale March 2020 hali yetu ingekuwa tofauti? Maambukizi tayari yalishakuweko ndani.
Kuna mahali nimesema tungefunga March au nimesema nchi nyingi zilichukua hatua wakati zilishaathirika?!

Na hata hizo nchi, kwani walichukua hatua wakati gani kama sio February na early march lakini tayari ilishakuwa too late kutokana na muingiliano mkubwa wa abiria kutoka sehemu mbalimbali duniani!!

Btw, hivi unaamini kabisa kwamba Tanzania ina muingiliano mkubwa wa international passengers? Uganda na Rwanda wanaofanana na sisi walichukua hatua wakati gani na hali yao iko vipi ukilinganisha na Tanzania?!
 
Hongera sana rais wangu. naielewa awamu ya tano. corona ni hatari na ni janga lkn kazi na maisha lazima ziendelee.
 
Mimi sijaomba mimi naeleza kwa rate hii ya maambukizi

Kenya ilikuwa na maambukizi mengi zaidi yetu na sasa tuko sawa na huenda tumeshaipita mbali sema tunaficha
🤣🤣

Kwanini unaamini takwimu za Kenya wakati hata ahusiki wala kuziandaa na za nchi kwako pia ahusiki kuziandaa lakini unabeza?
 
Back
Top Bottom