Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

kasemaa anaweza ruhusu week ijayo vyuo kufunguliwa
 
twafa njaa, namuomba sana shule zifunguliwe pliz kwa tamko lake moja tu , dawa za Corona zipo
 
kasemaa ana,weza ruhusu week ijayo vyuo kufunguliwa
 
Rais ana lalamika duuh!

Kwa lugha rahisi anajishtaki mwenyewe kwa kuwa na serikali yenye mfumo mbuvu wa sekta ya afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtalii gani yupo tiyari ku risk maisha yake in Dark country, aache kudanganya watu, labda afungue vyuo maana hilo lipo ndani ya uwezo wake lakini siyo kuleta watalii kipindi hiki
Kuna wazungu wengi tu waligoma kuondoka Tanzania, mfano mimi boss wangu alìkuwa mmarekani ila amegoma kabisa kusepa bongo.
 
Mungu azidi kumlinda Rais JPM..
Hakika ni chaguo la Mungu

Leo naamini nikiwa kama Mkristu niliye na Imani tele maishani mwangu.. naamini wengi watakuwa wameondoa hofu kwa kumsikiliza.. kweli angekuwa Mchungaji tu.. ana upako..

Kama alivyosema.. endeleeni kuchukua tahadhari na kusali.. msiruhusu hofu iwaingie..

Magufuli oyeeeeeeeee
 
Nagongelea msumari,!

Chadema wanataka nchi iendeshwe kwa matakwa ya kigogo 2014
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Si vituko hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAGUFULI Ni kiongozi bora juu ya viongozi bora

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Ila tukumbuke kua naomba nimnukuu waziri wa elimu wa Kenya "Kaburini HAKUNA masomo" mwisho wa kunukuu
Big up Mr President nasubir kitabu Chako MIAKA 15 au ishirini ijayo....

"Lakini pia tukumbuke mwisho wa mwanadamu yeyote ni kifo" mwisho wa kunukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…