Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivu mkuu, na wewe unaweza kutoa update ambazo zipo upande wakoWe angalia,yani anapost kila anachosikia,Ukiangalia utamuoana yeye tu,halafu tazama sura yake,utajua tu yupo upande gani.
Ndio mlitegemea hayo? Low minds!
Rais ana lalamika duuh!“Mimi Mtoto wangu wa kumzaa amepata corona akajifungia, akajifukiza akapiga malimao, sasa hivi ni mzima kabisa anapiga push-up, msije mkadhani mimi sijapata Mtu wa karibu mwenye corona, tuondoe hofu”-JPM
•
“Kuna mambo ya hovyo yanafanyika, kila Mtu akifariki wanakimbilia kumpima corona, Mtu amefariki unampima yanini?, nguvu za kumpima wanazo, za kumuhudumia akapona hawana, Mtu atakapofariki kwa ugonjwa wowote hata wa corona lazima azikwe kwa kawaida, corona sio Ebola” -JPM
•
“Kuna rafiki yangu mmoja Injinia alipata kiharusi akapelekwa Muhimbili, wakampima wakasema ana corona, amepelekwa Amana Watu wanamuogopa kisa ana corona, Ndugu zake wakamtoa wakampeleka Agha Khan, wamechukua vipimo wakakuta mzima hana corona, amepona yupo nyumbani” -JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wazungu wengi tu waligoma kuondoka Tanzania, mfano mimi boss wangu alìkuwa mmarekani ila amegoma kabisa kusepa bongo.Mtalii gani yupo tiyari ku risk maisha yake in Dark country, aache kudanganya watu, labda afungue vyuo maana hilo lipo ndani ya uwezo wake lakini siyo kuleta watalii kipindi hiki
Nagongelea msumari,!JPM
"Hili ni taifa huru, ni taifa linalojiamini, lilishapambana na majanga mengi likadhinda.
Hakuna cha lockdown wala shangazi yake lockdown[emoji3][emoji3][emoji119]
Akili za kuambiwa changanya na zako, unaambiwa kakae lockdown na ww unaenda jifungia chumbani huku hata chakula huna"
Mbona kama uwamini!!Mambo yakizidi kuwa vizuri yote yataendelea Kama kawaida vijana wakavune elimukasemaa ana,weza ruhusu week ijayo vyuo kufunguliwa
Kawajibu kimafumbo..waache wajilockdownNdio mlitegemea hayo? Low minds!
MAGUFULI Ni kiongozi bora juu ya viongozi boraMungu azidi kumlinda Rais JPM..
Hakika ni chaguo la Mungu
Leo naamini nikiwa kama Mkristu niliye na Imani tele maishani mwangu.. naamini wengi watakuwa wameondoa hofu kwa kumsikiliza.. kweli angekuwa Mchungaji tu.. ana upako..
Kama alivyosema.. endeleeni kuchukua tahadhali na kusali.. msiruhusu hofu iwaingie..
Magufuli oyeeeeeeeee
Ila tukumbuke kua naomba nimnukuu waziri wa elimu wa Kenya "Kaburini HAKUNA masomo" mwisho wa kunukuu
Big up Mr President nasubir kitabu Chako MIAKA 15 au ishirini ijayo....