Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Ficha taarifa baba kadri iwezekanavyo ili mapopoma ya ccm yaendelee kuumwa
 
Yawezekana mme wasimamisha wasililale tena ..ivyo tuseme wagonjwa wame simamishwa

Dark Side
 
Muuamini mkuu kwani nilikulazimisha uamini nianachokiami.

Ila kwa upande wangu namuona mtu ambaye si mkweli kweli kwenye mambo mengi na isitoshe nimemuweka kwenye kundi la wanafiki.

Usimuamini muongo hata kama akiongea ukweli huo ndio msimamo wangu ninaouamini whether you like or not.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najiuliza vikaratasi alivyokuwa anasoma aliviandika akiwa kanisani au ametokanavyo home aliweka mfukoni?

Sina hakika kama waafrika tunamjua Mungu tunaemwabudu.

Kama Mungu angekuwa anamuadhibu mtu hapo hapo anapofanya kosa basi kuna viongozi midomo ingekwenda pembeni wakati wakihutubia kwa kufanya mzaha na Mungu.
 

Hii inaitwa danganya toto. Wape kitu ya kuwaweka busy wakiongea.

Kipi kilikuwa kinakuja mwanzo takwimu au shughuli hizo tajwa kufunguliwa?

Lockdown down ipi inazuia mtu kuonana na watu wa familia yake ndani ya nyumba moja? Lockdown ipi inazuia shughuli muhimu kuendelea achilia mbali za uzalishaji mali vijijini au uvuvi sehemu ambako hata maambukizi hamna?

Hii ni ile wanaita kuingizwa chaka.

Hiiiii bagosha.
 
Alisema mafua hayatudhuru
Akatoka nduki bila kuaga
Kaja na kuliombea taifa
Mara katimua mtaalamu
Kaja na kujifukiza
Statistics hatoi
Leo tena ntafungua shule

Jamaa ana mengi yanachanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…