mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Na wazazi kwenye shule za private andaeni pochi kwa ajili ya kulipa ada, waalimu wapate mishahara. Kile kichaka cha corona kimechomwa moto!!Fungua shule baba tupige kazi
Majirani wameshachukua hela ya mzungu...
lazima waonyeshe uwajibikaji
at least yeye ana ubinadamu imagine unakuwa na president halafu anafanya haya!
Mabeberu?
Sasa kama hali ni nzuri kama anavyosema mzee baba, mbona madereva wetu kila siku wanakutwa na Koooona huko mipakani? Au wanatoka nchi gani? Au ndio vipimo vya mabeberu?
That's all he can do. Kushangaa. Uhuru haezishindwa na pombe, period.
Magufuli amesema ni ujinga wa kupitiliza kwa nchi ambazo zimeizunguka Tanzania kujaribu kufunga mipaka yao na Tanzania kwasababu nchi hizo zinaitegemea sana Tanzania. Ametolea mfano kwa nchi moja(Kenya) ambayo inaitegemea Tanzania kwa mahindi, mchele na hata mifugo(nyama), kutangaza kufunga mipaka wakati ikijua kwamba hawana chakula cha kutosha.
Magufuli anategemea kufungua shule na vyuo vya elimu na kuruhusu ndege kuanzia safari zake za kawaida ndani ya wiki mbili zijazo kutokana na hali ya ugonjwa wa Corona kutengemaa nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi nyingi kwa sasa soon zitarejesha huduma zake kama kawaida, who wenyewe washasema ugonjwa huu utakuwepo kwa muda mrefu kikubwa tujifunze tu kuishi nao,wapingaji wanajifurahishaNikisikiliza kutoka Chato namuona mhe Magufuli akiwa imara zaidi.
Juzi nilitoa mada yenye kichwa chake "CORONA:SHULE VYUO VINAWEZA KUFUNGULIWA" ingawa mod wameunganisha na uzi mwingine... leo namsikia Mhe Magufuli akishindilia hoja kwamba soon ataruhusu shule na vyuo vifunguliwe [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Tusitishane...wale wa kupingapinga endeleeni sisi tunachapa kazi.
Kumbuka Mungu ndiye mlinzi wa maisha yako
Kwa taarifa yako hiyo kitu presha naisikia tu kwa watu kama wewe! Endeleeni kuwekeza ktk ujima!
Sasa inakuwaje anatuambia tuchape kazi wakati yeye yupo CHIMBO? Za kuambiwa Changanya na zako!!
Wewe huwezi kumuelewa, uwezo wako wa kupokea na kuelewa hoja Ni 20 Kb hotuba ya Rais Ni 500Gb halafu unakosoa hotuba badala ya kujikosoa kuwa na uelewa mdogo.Lakini akili zenu zimezidiwa na madaraka mliyopewa?
Anakamata vichwa vya habari karibu duniani kote,hapo kama ni ulaya ya bariadi mkuu haya
Na wazazi kwenye shule za private andaeni pochi kwa ajili ya kulipa ada, waalimu wapate mishahara. Kile kichaka cha corona kimechomwa moto!!
Sent using Jamii Forums mobile app
That big headed man has no courage to mention Kenya.
Magufuli amesema ni ujinga wa kupitiliza kwa nchi ambazo zimeizunguka Tanzania kujaribu kufunga mipaka yao na Tanzania kwasababu nchi hizo zinaitegemea sana Tanzania.
Ametolea mfano kwa nchi moja(Kenya) ambayo inaitegemea Tanzania kwa mahindi, mchele na hata mifugo(nyama), kutangaza kufunga mipaka wakati ikijua kwamba hawana chakula cha kutosha.
Magufuli anategemea kufungua shule na vyuo vya elimu na kuruhusu ndege kuanzia safari zake za kawaida ndani ya wiki mbili zijazo kutokana na hali ya ugonjwa wa Corona kutengemaa nchini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wafuasi wa kigogo hao, wana hofu ya kufa yaani.Mkuu endelea kuomboleza vifo vinavyo tokea kwenye page ya kigogo tafafadhali
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana kibali toka kwa Mungu; labda kwa Lucifer 🤣 🤣Rais Ni mmoja tu na ndiyo mwenye mamlaka na kibali toka kwa Mungu. Tulia au jiweke karantini ili njaa ikikunyuka urudi kazini Kama ndugu zako wa bungeni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati unachangia ni vizuri ukajipa muda kutafakari kidogo, yeye ameishangaa Kenya kufunga mpaka na Tanzania na kusema kama Tanzania ikiamua nayo kufunga mpaka wake kiasi kwamba hata hayo malori tukisema pia hayaruhusiwi kupita, hali ya maisha ya wakenya itakuaje?.Magu anapotosha kwa makusudi.
Ukweli ni kuwa Kenya wamefunga mpaka wake na Tanzania, lakini magari ya mizigo na madereva wanaruhusiwa kuingia na kutoka Kenya baada ya kufanyiwa vipimo.
Kumbe wewe ni lijinga namna hii?Nimelazimishwa kutojifungia kwani nimeajiriwa serikalini. Pumbavu wewe. Ndivyo chakubanga anavyowafundisha kufikiri huko lumumba?
Ulitegemea aitaje kwa jina?, ila ni nchi gani inayoitegemea Tanzania kwa mahindi, mchele na nyama?Hana ubavu wa kutaja Kenya. Nimemsikiliza ila hajataja Kenya popote.