Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Lockdown sio ufumbuzi wa corona,maana haijulikana itaisha lini dawa ni kuchapa kazi huku taadhari zilichukuliwa
Kuna clip moja kutoka ulaya inaelezea madhara ya lockdown kwamba kinga ya mwili inakuwa weak na pindi watu watakapotoka watakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi na hali inaweza kuwa mbaya, kubwa wanadai ni kuwaepusha wazee na wenye magonjwa ya muda mrefu tu,vijana na ambao kinga zao ziko safi waendelee na shughuli mwisho wa siku hivi virus havitakuwa na madhara kwao na wamedai pia uvaaji wa barakoa ni hatari maana hauruhusu oksijeni kuzunguka vzr mwilini pamoja na kuruhusu bacteria wengine wanaosaidia kwenye kinga ya mwili kuingia mwilini.

Tutamkosoa sana Magufuli lkn this man is genius na baadaye baada ya kuachana na mihemko ya siasa we will thank him later.

Wuhan kwa sasa kuna mripuko tena wa covid,je hawa hawakufanya lockdown? Kwanini hali inarudi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Nini hatma ya zile bilioni 16 sijui🙄
 
Usimlishe maneno! Hakutaja nchi yoyote, zaidi ya kuishukuru Uganda na Rais Mseveni kwa kutuuzia sukari. Hakuna mahali kaitaja Kenya! Acha uchonganishi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu huyu akijitokeza anaongea mengi na kututia saana moyo tunaomsikiliza.

Kila mara anatuambia haka kachangamoto ka kupumua kanakuzwa saana na mabeberu. Anatumia nguvu nyingi kutusihi tusikaogope tupige kazi kwa kwenda mbele.

Kama haka kachangamoto kanakuzwa tu na mabeberu na hakana madhara makubwa mbona hataki kurudi mjini tuendelee kuchapa kazi kama anavyosisitiza kila siku?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wanaopona wanapimwa wapi mashine si zinafanyiwa uchunguz[emoji45]


Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio pale Raisi Magufuli kasema akili ya kuambiwa changanya na zako.
Raisi na Family yake ni first family hivyo wana access ya kupimwa na referral Laboratory.
Mtoto wa Raisi alipimwa ndipo akajulikana kuwa ameambukizwa.
Sasa akina yahe tunaoambiwa kachape kazi kwa mwendo wa fang fang hata pima joto hatupimwi,sasa ukija bahati mbaya umeukwaa bila ya kipimo hadi unashtuka upo hoi ndio tena by bye.
 
Zakuambiawa changanya na zako, yule anavuta attention for audience..
kama uongo mtaona hyo week ijayo, hakuna cha shule kufunguliwa wala ligi..
uongo tupu, Corona iko Choooh mitaani humu
 
Sawa ngoja nikapate taarifa sahihi za kigogo kuhusu korona19,nikisubiri zenu za ficha ficha jazz band tutazidi kuumia.
Huyo kigogo sindo alizusha kuwa mkuu wa nchi kadanja baada ya kupigwa na mosh kule kusini mwa tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…