Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
ziko nyingi tuUlitegemea aitaje kwa jina?, ila ni nchi gani inayoitegemea Tanzania kwa mahindi, mchele na nyama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ziko nyingi tuUlitegemea aitaje kwa jina?, ila ni nchi gani inayoitegemea Tanzania kwa mahindi, mchele na nyama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna clip moja kutoka ulaya inaelezea madhara ya lockdown kwamba kinga ya mwili inakuwa weak na pindi watu watakapotoka watakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi na hali inaweza kuwa mbaya, kubwa wanadai ni kuwaepusha wazee na wenye magonjwa ya muda mrefu tu,vijana na ambao kinga zao ziko safi waendelee na shughuli mwisho wa siku hivi virus havitakuwa na madhara kwao na wamedai pia uvaaji wa barakoa ni hatari maana hauruhusu oksijeni kuzunguka vzr mwilini pamoja na kuruhusu bacteria wengine wanaosaidia kwenye kinga ya mwili kuingia mwilini.Lockdown sio ufumbuzi wa corona,maana haijulikana itaisha lini dawa ni kuchapa kazi huku taadhari zilichukuliwa
Usimlishe maneno! Hakutaja nchi yoyote, zaidi ya kuishukuru Uganda na Rais Mseveni kwa kutuuzia sukari. Hakuna mahali kaitaja Kenya! Acha uchonganishi!!
Magufuli amesema ni ujinga wa kupitiliza kwa nchi ambazo zimeizunguka Tanzania kujaribu kufunga mipaka yao na Tanzania kwasababu nchi hizo zinaitegemea sana Tanzania.
Ametolea mfano kwa nchi moja(Kenya) ambayo inaitegemea Tanzania kwa mahindi, mchele na hata mifugo(nyama), kutangaza kufunga mipaka wakati ikijua kwamba hawana chakula cha kutosha.
Magufuli anategemea kufungua shule na vyuo vya elimu na kuruhusu ndege kuanzia safari zake za kawaida ndani ya wiki mbili zijazo kutokana na hali ya ugonjwa wa Corona kutengemaa nchini.
Yuko sawa kichwani tena sana zaidi ya mm na wewe na anachokifanya ni sahihi zaidiHuyu mzee tumsamehe tu. Huenda hayuko sawa kichwani. In fact hayupo sawa kichwani!
Duniani kote mipaka ilipofungwa ESSENTIAL GOODS zinapita boda kama kawa.alizungumza na M7 akauziwa sukari. anasema mipaka ingekuwa imefungwa tusingepata sukari
Tunasubiri.sultani mbowe atakuja na pumba zipiIngekuwa ni rais mwenye hoja hapo sawa, sio huyo mpika data.
Kama Mbowe anakutawala na unamnyenyekea utakuwa zaidi ya mjingaNyerere pekee ndio alifaidi kuongoza watanzania wajinga, hakuna rais mwingine atapata bahati hiyo. Watu wameshaamka muda mrefu. Huyu ni kama anaanika nguo kavu.
daah . . . . barakoa na santizer jamani zinatuchachiaBiashara ya barakoa inaelekea kufa.
Raisi amewasifia waumini na mchungaji kwa kuto vaa barakoa.
Hata ye mwenyewe hajawahi kuvaa hata siku moja.
muulize jiwe sio mimiDuniani kote mipaka ilipofungwa ESSENTIAL GOODS zinapita boda kama kawa.
Ndio pale Raisi Magufuli kasema akili ya kuambiwa changanya na zako.Hawa wanaopona wanapimwa wapi mashine si zinafanyiwa uchunguz[emoji45]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeibukia kaburi gani ?Si mlisema hamtaki kujua rais yupo wapi
Nyie watu aliewaroga kafa
Lakini kajustfy lockdown yakeAngejikalia kimya tu kulinda his location of hide.
Na umeamini?Hiii exclusive ni hatarii...kumbe mtoto wa jiwe naye alipata korona
Kaamua kuchoma moto nyumba ngoja atafurahi kama Puttin na yule mwehu wa BrazilBado kidogo atapinga dawa zote
Huyo kigogo sindo alizusha kuwa mkuu wa nchi kadanja baada ya kupigwa na mosh kule kusini mwa tanzaniaSawa ngoja nikapate taarifa sahihi za kigogo kuhusu korona19,nikisubiri zenu za ficha ficha jazz band tutazidi kuumia.
Corona hamna kitu? Acha dharau asee, pandemic sio ya kuichukulia poa kiasi hicho. Waulize WHO, CDC na hata wizara ya afya wakufundishe kuhusu pandemic kama hujuiCorona hamna kitu Italia ndege zinaruhusiwa kuingia na kutoka kuanzia mwezi ujao
Sent using Jamii Forums mobile app