joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Processed milk sio chakula kwa huku kwetu, hata hivyo Tanzania tunayo maziwa ya kutosha tunayozalisha hapa nchini, hatuna upungufu wa maziwa, lakini hata ukitokea, nchi haiwezi kumbwa na balaa la njaa.Processed milk,lakini pia Soma post yangu maana hukuielewa
Wanaccm watatusaidia kwenye hili otherwise Changanya na zakoHili nalo neno.
Achana na ujinga upate kuishi, fuata njia ya akili (Methali 9:6)
Sijui hizo takwimu zimekuwa referred wapi kama hizo mashine zipo kwenye uchunguzi. Kigezo gani kinatumika kujua huyu amepona na huyu bado.
Mask ni muhimu tu mahali ambapo haiwezekani kukaa mbali mbali!! Utaratibu kanisani siku hizi wameongeza idadi ya ibada ili watu wawe wachache kwenye ibada moja na watu wanakaa mbali mbali.
Hajasema watu wasivae Barakoa, amesema tuchape kazi huku tukiendelea kuchukua tahadhari (kwa kusema tuendelee kuchukua tahadhari maana yake tuvae barakoa mahali ambapo haiwezekani kukaa mbali mbali kama kwenye mabasi nk). Usimlishe maneno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vifo vinne ndio nini?? Mbona kuna nchi nyingi tu watu wanakufa kwa maelfu na mania!! Hivi hata kabla ya korona vifo vinne kwenye nchi vilikuwa havipo kwa siku!! Kuna ajabu gani vikitokea leo kwa korona!Baada ya kunikumbusha kwenda kwa kigogo Twira nimepata updates ya vifo kama vinne vya korona including Mdogo wake Olesendeka.
no mask...dah!!!!!!!!!!!basi sawa
nadhani kuanzia kesho ..mjini no need of barakoa tena...hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiTena anashangilia kabisa hilo, nimemshangaa kwa kweli
Ndiyo aseme hauna dawa sio kutudanganya kua ukijifukiza unapona. Hehe mna matatizo kichwani?Ushaambiwa ugonjwa hauna dawa we unatakaje?
Mkuu acha mihemko.kama hujui sema usaidiwe,watanzania tunatumia mikate,chapati mandazi na vitumbua kila siku ngano inalimwa wapi hapa Tanzania na kwa kiwango gani? Mafuta ya kupikia ukiacha ile clude sunflower oil mnayotumia ninyi wanyonge ni kiwanda only My.meru na murzah oil ndo wabazalisha refined sunflower oil na ni kidogo sana All palm oil is refined from imported clude oil toka Malaysia.Mchele.Serikali ikiamua tu kuzuia imported rice wengine wenu hamtaweza kununua.Nimekupa tu bidhaa chacheProcessed milk sio chakula kwa huku kwetu, hata hivyo Tanzania tunayo maziwa ya kutosha tunayozalisha hapa nchini, hatuna upungufu wa maziwa, lakini hata ukitokea, nchi haiwezi kumbwa na balaa la njaa.
Tanzania kwa sasa inajitosheleza kwa chakula na tunauza nje chakula cha ziada, kitu pekee ambacho hatujitoshelezi ni Sukari, hata Kenya haijitoshelezi kwa sukari, kwahiyo tukifunga mipaka na Kenya, Tanzania hatutopata upungufu wa chakula, ila Kenya italazimika kutafuta chakula toka nchi zingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA mnafurahia corona si kawaidaFicha taarifa baba kadri iwezekanavyo ili mapopoma ya ccm yaendelee kuumwa
Haya maneno yako yamepeleka kilio kikubwa sana CHADEMAMagufuli akiongea dunia inasimama na kujadili hotuba yake
Kuna Nchi fulani zinataka kuleta mchezo hatutazihurumia
Shida ni kwamba mtatuambukiza in the endHivi ninyi mnaodai lockdown si mjifungie wenyewe ndani na wake zenu mtuache sisi tutembee.Hapa mtaani kwetu kuna wazungu a.k.a mabeberu wapo nje kiguu na njia tena hata hawavai barakoa.Kama kufungiwa ndani ni vizuri hawa wazungu si wangebaki ndani kutii maagizo ya balozi zao?
maabukizi na visa vimepungua according to his excellence....Mkuu hatuongea kuchengemsha genge ni true story njiro ni misiba kila siku muulize hata Lema,nimumuuliza jamaa yangu wa njiro kaniambia njiro hatari haipiti siku anakatika mtu kwa korona na hadi Baruani Mshale(Ni Mkurugenzi wa Mikakati -Twaweza) aliconfirm BBC Swahili akihojiwa na Kikeke kuwa shangazi yake wa njiro alifariki kwa korona,
Hatujasema kwamba watu hawafi,nazungumzia vifo vya korona mkuu elewa acha KUVIBE(VIBRATE) mbona kifo(ajali) cha Kaka yake Maria Sarungi sijazungumza? Hivyo vinne ni vya korona!! Nimezungumza kwasababu mnaingizwa chaka kwamba korona sio issue na hali ipo shwari wakati watu wanakatika ila huyo anayesema tuchape kazi yeye kajipalockdown kajichafi mbochi tocha.Hivyo vifo vinne ndio nini?? Mbona kuna nchi nyingi tu watu wanakufa kwa maelfu na mania!! Hivi hata kabla ya korona vifo vinne kwenye nchi vilikuwa havipo kwa siku!! Kuna ajabu gani vikitokea leo kwa korona!
Au kwa akili yako tukifanya lockdown hakutakuwa na vifo? Marekani, India, uingereza, hispania, Italia, ufaransa nk wote hao waliweka lockdown bado kulikuwa na mamia ya vifo kila siku hadi wameamua kuachana na lockdown japo maambukizi mapya kila siku yako juu!!
Sent using Jamii Forums mobile app