joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Processed milk sio chakula kwa huku kwetu, hata hivyo Tanzania tunayo maziwa ya kutosha tunayozalisha hapa nchini, hatuna upungufu wa maziwa, lakini hata ukitokea, nchi haiwezi kumbwa na balaa la njaa.Processed milk,lakini pia Soma post yangu maana hukuielewa
Tanzania kwa sasa inajitosheleza kwa chakula na tunauza nje chakula cha ziada, kitu pekee ambacho hatujitoshelezi ni Sukari, hata Kenya haijitoshelezi kwa sukari, kwahiyo tukifunga mipaka na Kenya, Tanzania hatutopata upungufu wa chakula, ila Kenya italazimika kutafuta chakula toka nchi zingine.
Sent using Jamii Forums mobile app