Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Processed milk,lakini pia Soma post yangu maana hukuielewa
Processed milk sio chakula kwa huku kwetu, hata hivyo Tanzania tunayo maziwa ya kutosha tunayozalisha hapa nchini, hatuna upungufu wa maziwa, lakini hata ukitokea, nchi haiwezi kumbwa na balaa la njaa.

Tanzania kwa sasa inajitosheleza kwa chakula na tunauza nje chakula cha ziada, kitu pekee ambacho hatujitoshelezi ni Sukari, hata Kenya haijitoshelezi kwa sukari, kwahiyo tukifunga mipaka na Kenya, Tanzania hatutopata upungufu wa chakula, ila Kenya italazimika kutafuta chakula toka nchi zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nalo neno.
Achana na ujinga upate kuishi, fuata njia ya akili (Methali 9:6)
Sijui hizo takwimu zimekuwa referred wapi kama hizo mashine zipo kwenye uchunguzi. Kigezo gani kinatumika kujua huyu amepona na huyu bado.
Wanaccm watatusaidia kwenye hili otherwise Changanya na zako
 
Kapeleka ndege Madagascar kuchukua mitishamba ya mwanae huku nyie mnaambiwa mchape kazi. Yeye kaenda kuuguza Sikh 57!
 
Mask ni muhimu tu mahali ambapo haiwezekani kukaa mbali mbali!! Utaratibu kanisani siku hizi wameongeza idadi ya ibada ili watu wawe wachache kwenye ibada moja na watu wanakaa mbali mbali.
Hajasema watu wasivae Barakoa, amesema tuchape kazi huku tukiendelea kuchukua tahadhari (kwa kusema tuendelee kuchukua tahadhari maana yake tuvae barakoa mahali ambapo haiwezekani kukaa mbali mbali kama kwenye mabasi nk). Usimlishe maneno!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kawapongeza na kuwashangilia waumini ambao hawajavaa barakoa leo
 
Baada ya kunikumbusha kwenda kwa kigogo Twira nimepata updates ya vifo kama vinne vya korona including Mdogo wake Olesendeka.
Hivyo vifo vinne ndio nini?? Mbona kuna nchi nyingi tu watu wanakufa kwa maelfu na mania!! Hivi hata kabla ya korona vifo vinne kwenye nchi vilikuwa havipo kwa siku!! Kuna ajabu gani vikitokea leo kwa korona!
Au kwa akili yako tukifanya lockdown hakutakuwa na vifo? Marekani, India, uingereza, hispania, Italia, ufaransa nk wote hao waliweka lockdown bado kulikuwa na mamia ya vifo kila siku hadi wameamua kuachana na lockdown japo maambukizi mapya kila siku yako juu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Processed milk sio chakula kwa huku kwetu, hata hivyo Tanzania tunayo maziwa ya kutosha tunayozalisha hapa nchini, hatuna upungufu wa maziwa, lakini hata ukitokea, nchi haiwezi kumbwa na balaa la njaa.

Tanzania kwa sasa inajitosheleza kwa chakula na tunauza nje chakula cha ziada, kitu pekee ambacho hatujitoshelezi ni Sukari, hata Kenya haijitoshelezi kwa sukari, kwahiyo tukifunga mipaka na Kenya, Tanzania hatutopata upungufu wa chakula, ila Kenya italazimika kutafuta chakula toka nchi zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha mihemko.kama hujui sema usaidiwe,watanzania tunatumia mikate,chapati mandazi na vitumbua kila siku ngano inalimwa wapi hapa Tanzania na kwa kiwango gani? Mafuta ya kupikia ukiacha ile clude sunflower oil mnayotumia ninyi wanyonge ni kiwanda only My.meru na murzah oil ndo wabazalisha refined sunflower oil na ni kidogo sana All palm oil is refined from imported clude oil toka Malaysia.Mchele.Serikali ikiamua tu kuzuia imported rice wengine wenu hamtaweza kununua.Nimekupa tu bidhaa chache
 
nawaonea huruma wale waliowekeza kwenye barakoa na sanitizer...biashara ya barakoa mwesho leo..wale walio shonesha za biashara wazimodify walau ziwe vitambaa vya kufutia vumbi...
 
Watanzia wasitegemee tena data za corona ..hii itaanza kuwa ni confidential...mzee swaga tuende..mbona tutakuelewa tu..
 
hotuba nyingine tusubiri mpaka jumapili tena...siku hizi mzee anahutubia taifa from church...warereee...
 
Magu anajiamini mbayaa

na hakuvaa cha masks wala barakoa wala gloves

anasema 'vile mnavyojifunika mnavyovaa mdomoni' akirejea barakoa.Huku kanisa limepigwa ubaridi watu wako tuli kama maji mtungini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ninyi mnaodai lockdown si mjifungie wenyewe ndani na wake zenu mtuache sisi tutembee.Hapa mtaani kwetu kuna wazungu a.k.a mabeberu wapo nje kiguu na njia tena hata hawavai barakoa.Kama kufungiwa ndani ni vizuri hawa wazungu si wangebaki ndani kutii maagizo ya balozi zao?
Shida ni kwamba mtatuambukiza in the end
 
Mkuu hatuongea kuchengemsha genge ni true story njiro ni misiba kila siku muulize hata Lema,nimumuuliza jamaa yangu wa njiro kaniambia njiro hatari haipiti siku anakatika mtu kwa korona na hadi Baruani Mshale(Ni Mkurugenzi wa Mikakati -Twaweza) aliconfirm BBC Swahili akihojiwa na Kikeke kuwa shangazi yake wa njiro alifariki kwa korona,
maabukizi na visa vimepungua according to his excellence....
 
sasa nimeanza kumuelewa mzee wa efatha...no barakoa..naona kila kona imepita hiyoooooooooooooo
 
Hivyo vifo vinne ndio nini?? Mbona kuna nchi nyingi tu watu wanakufa kwa maelfu na mania!! Hivi hata kabla ya korona vifo vinne kwenye nchi vilikuwa havipo kwa siku!! Kuna ajabu gani vikitokea leo kwa korona!
Au kwa akili yako tukifanya lockdown hakutakuwa na vifo? Marekani, India, uingereza, hispania, Italia, ufaransa nk wote hao waliweka lockdown bado kulikuwa na mamia ya vifo kila siku hadi wameamua kuachana na lockdown japo maambukizi mapya kila siku yako juu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujasema kwamba watu hawafi,nazungumzia vifo vya korona mkuu elewa acha KUVIBE(VIBRATE) mbona kifo(ajali) cha Kaka yake Maria Sarungi sijazungumza? Hivyo vinne ni vya korona!! Nimezungumza kwasababu mnaingizwa chaka kwamba korona sio issue na hali ipo shwari wakati watu wanakatika ila huyo anayesema tuchape kazi yeye kajipalockdown kajichafi mbochi tocha.
 
Back
Top Bottom