Trilioni zaidi ya 100 za madini!..aliwahi kudanganya kwamba vichwa vya treni alivyovikuta bandarini vilikuwa havina mwenyewe.
..pia alidanganya mbele ya viongozi kwa kutuhumu viongozi wa upinzani kuwa wanataka kumuua.
Au alimaanisha huyu? [emoji848][emoji144][emoji40][emoji40]Most likely hapakuwa na kitu hicho. Ni kuhalalisha anayoyafanya kuhusu corona, kuzipa uzito sentensi zake za mitishamba na kuwa siyo kuwa anawasukumia wengine bali na yeye ndizo anazotumia.
Hapana...
sidhani kama ni ujinga. Alijuaje kama vipimo at the very only lab are suspended due to defective both the methods and equipment?Ujinga ujinga tuu......
angelimtaja basiUkweli anao yeye mwenyewe
Sisi tuchanganye nazakwetu
NO man is infallible, all men are fallible! sasa unaposema kuwa Rais aaminiwe kwa lolote alitamkalo, then you are lost! Tena wanasiasa ni WAONGO, wote ni waongo, what differs is a degree of lying! and particularly ukishamsoma unaye deal naye!Ni dhambi mbele za Mungu kutokumuamini kiongozi wako kiasi hicho. Alikutenda nini?? Mbona tulimuamini Mh Mbowe aliposema mwanaye kila akipimwa bado anao??
Mtu wa dini haya yanayotokea kwenye utawala wake yanamuweka mbali na dini na kuwa niUnafiki tu wa ku win the confidence of the clergy!Inaezekana akadanganya kanisani kweli? Mimi naamini alivyosema ni kweli maana kiongozi wetu ameshika sana dini
Hawezi ku comment kwa vitu kama hivyo!KWANI MWANAFAMILIA MSIGWA ANASEMAJE? Maana yeye ndio akiniambia kuwa sio kweli nitaamini.
Kuna maswali mengi kuliko majibu! Ni vitu vya kuunda ili kuwaghilibu watu kuwa corona is not that much of serious disease and can be cured by natural herbal remedy! To legalize his way of doing things with regard to traditional medicine.Ndiyo tatizo la kuwa muongo muongo. Leo huamini vipimo vya kutoka maabara kesho unaviamini! Na huyo mwanae aliugua lini? Amejuaje kapona? Kama kapimwa kapimiwa wapi wakati maabara zinafanyiwa “marekebisho”
Alidhibitisha makonda .ingawa kuna mashaka na vipimo kutokana na kauli ya kiongizi wetu.na huko adhibitishe wa upande wa piliNi dhambi mbele za Mungu kutokumuamini kiongozi wako kiasi hicho. Alikutenda nini?? Mbona tulimuamini Mh Mbowe aliposema mwanaye kila akipimwa bado anao??
Bora anayeungwa mkono na watu watatu wazima wenye ufahamu kuliko aungwaye mkono na watu saba wajinga na wasio elewa kitu.Watu wanavyomchukulia Magufuli huku mataani, unawaonea huruma sana chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hao alio wataja walipiwa wapi hadi anaamini? Kulekule aliko Pima mapapai, fenesi na oil?
Don't go too much low like that mwishimiwa! Lazima ujitofautishe na kina Lusinde, Msukuma au yule aliyesema humo mjengoni "msinizingue" maana umesoma wewe na una wadhifa na ni kijana!
Kuna maswali mengi kuliko majibu! Ni vitu vya kuunda ili kuwaghilibu watu kuwa corona is not that much of serious disease and can be cured by natural herbal remedy! To legalize his way of doing things with regard to traditional medicine.
By the way, BAK hujambo? Watu walishasema kuwa BAK is no more labda ametekwa and gone by the wind! actually nilipata ban baada ya mtu (UCD) kunitishia kuwa nitapotea kama BAK, akasema kwani sasa unamuona hapa JF ameshapotezwa. NNikapata BAN kubwa!
Umefanya jambo la muhimu sana kurudi! personally nilimis sana michango yako. Karibu tena!Duh! Pole sana Mkuu kwa kula BAN. Nipo hai ndugu yangu kama unionavyo. Niliamua kuondoka moja kwa moja kutokana na ujinga wa baadhi ya mambo hapa.
Wapambe wangu ambao tunawasiliana hata nje ya hapa wakawa wananiomba nirudi na wengine kunitumia uzi za UZUSHI kuhusu BAK.
Mwisho nikaamua kuheshimu wito wa kuombwa kurudi.
Umefanya jambo la muhimu sana kurudi! personally nilimis sana michango yako. Karibu tena!
What I am doing nowadays ni ku- block nonsense yoyote ninayeona ana ujinga/utoto wa kutojenga hoja bali matusi! And this has been comfortable with me!