Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Trilioni zaidi ya 100 za madini!..aliwahi kudanganya kwamba vichwa vya treni alivyovikuta bandarini vilikuwa havina mwenyewe.
..pia alidanganya mbele ya viongozi kwa kutuhumu viongozi wa upinzani kuwa wanataka kumuua.
Yote ni kuhalalisha mafukizi
Ni kama kusoma idadi ya wagonjwa katika vituo bila kutueleza wangapi wamefariki, wangapi wamepona.
Lakini pia tujiulize, ilijulikanaje ni wagonjwa wa corona ikiwa haamini vipimo?