Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Hivi hao unawaita mabeberu inamaana wewe ni mbuzi jike wanakuparamia nyuma?
 
Mtoa mada ni kada kuliko wewe lakini mwishowe ameuona ukweli! Ndugu, watu wanakufa kama hakuna nduguyo au jamaa yako aliyekufa kwa korona mshukuru Mungu!

Jiwe hayuko siriaz na hii Korona, yaan anabeza hata matumizi ya balakoa ambayo wataalamu wake kila siku wanasisitiza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Most likely hapakuwa na kitu hicho. Ni kuhalalisha anayoyafanya kuhusu corona, kuzipa uzito sentensi zake za mitishamba na kuwa siyo kuwa anawasukumia wengine bali na yeye ndizo anazotumia.
Mara haamini vipimo mara mtoto wake aliumwa tushike lipi?
 
Sidhani kama dunia nzima tukifa viumbe wataokuja kuishi humu duniani wakiamua kuanzisha vyama watakubali kuanzisha chama kama ccm
 
Kumfananisha Rais wetu na Kinjekitile ni kumkosea adabu na kututukana sisi wapiga kura wake.

Sisi tuliomchagua tuna imani naye na tutaendelea kuchapa kazi wewe endelea kujifungia.
 
Ugonjwa uligunduliwa na wana sayansi na siyo waganga wa kienyeji hivyo jukumu la kuuondoa lipo kwa wana sayansi mwenyewe
 
Je unadhani angefanya nini ili watu wasife? Je kabla ya COVID watu walikuwa hawafi? Je umepitia takwimu za vifo za muda gani kuonyesha sasa hivi watu wanakufa zaidi? Je mtaani kwenu wamekufa watu wangapi kwa COVID?
Ni upepo tu utapita.
Mtaani kwenu wamekufa wangapi kwa malaria? Wangapi kwa Ukimwi? Wangapi kwa Ajali? Wangapi kwa Kansa?
 
Most likely hapakuwa na kitu hicho. Ni kuhalalisha anayoyafanya kuhusu corona, kuzipa uzito sentensi zake za mitishamba na kuwa siyo kuwa anawasukumia wengine bali na yeye ndizo anazotumia.

Hizi ndio solution za mawe:

-Sali
-Jifukize kwa nyungu
-Tumia mitishamba ya Madagascar
-Kula malimao
-Waganga wa kienyeji

Huyu jamaa aisee ni hasara all the way through!
 
Kwani Makonda anasemaje juu hili jambo. Mara mwisho nilimsikia akimsemea mtoto wa Mbowe.

Kumbe ndiyo maana Rais nae aliamua kwenda karantini.

Sasa nimeelewa kwa nini hayupo Dar.

Sent using iphone pro max
 
Mtaani kwenu wamekufa wangapi kwa malaria? Wangapi kwa Ukimwi? Wangapi kwa Ajali? Wangapi kwa Kansa?

Mkuu walisema ujinga mzigo. Kwa hakika ni mzigo mzito wa kutosha kumkabidhi mnyamwezi!

Akikujibu mkuu tufahamishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…