Most likely hapakuwa na kitu hicho. Ni kuhalalisha anayoyafanya kuhusu corona, kuzipa uzito sentensi zake za mitishamba na kuwa siyo kuwa anawasukumia wengine bali na yeye ndizo anazotumia.
Alishapona jiombee mwenyewe!watoto wake.
1, JESCA
2. JOHN JR -ambaye ni mwanasheria ila si wakili
Kati ya hao nani kaugua COVID?
atujuze tuendelee kumuombea
wakatoliki tunaombewaga tukishakufa, MISA YA WAFU, lingine?Alishapona jiombee mwenyewe!
alikuwa anabanwa mbavu
Watu wanavyomchukulia Magufuli huku mataani, unawaonea huruma sana chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ana watoto 2 tu? Nadhani rais alitaka kuwateka watu sakolojikale ile hoja zake zikubalike..watoto wake.
1, JESCA
2. JOHN JR -ambaye ni mwanasheria ila si wakili
Kati ya hao nani kaugua COVID?
atujuze tuendelee kumuombea
asthma ni corona? alitofautishaji hivi viwili?alikuwa anabanwa mbavu
Whose buttocks are you licking?What are you smoking?
Je unaona ni sahihi kutumbuliwa Ndungulile kisa katofautina naye?
Yours tehtehteh do you like being licked?!?!..of course you like it and gigglingWhose buttocks are you licking?
Mzee mwenzangu unaanza matusi tena! nimekuandkia pale mwanzo... unatoka kwenye kujadili hoja... karibu ChatoYours tehtehteh do you like being licked?!?!..of course you like it and giggling
Mku usikae hapo kutafakari wagonjwa wawenzio subiri na wewe ukipata ngonjwa ndo utaamini kwamba corona ipo.Most likely hapakuwa na kitu hicho. Ni kuhalalisha anayoyafanya kuhusu corona, kuzipa uzito sentensi zake za mitishamba na kuwa siyo kuwa anawasukumia wengine bali na yeye ndizo anazotumia.
Kubali au kataa Rais Magufuli atakuja kuwa shujaa katika kupambana na kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19 kwa jinsi ya maagizo yake. Anaweza kuwa siyo mwanasiasa mzuri lakini hakuna shaka anaitendea haki taaluma yake sayansi ya kemia. Ebu sikiliza wanasayansi wenzake wanavyosema baada ya tafiti zao.Magufuli anasisitiza tuendelee kuchukua tahadhali na kumuomba Mungu. Kama wiki ya kesho itaendelea hivi amepanga kufungua vyuo ili masomo yaendelee. Michezo iendelee
Booking za ndege zimejaa mpaka agasti, watu wanataka kuja Tz, hakuna karantini.
Daaah, jamani hii inakuwaje? ila kweli hali ipo hivi
Mimi nimeshafiwa na ndugu/majirani kwa corona for your informationMku usikae hapo kutafakari wagonjwa wawenzio subiri na wewe ukipata ngonjwa ndo utaamini kwamba corona ipo.
Nani kazungumzia waganga wa kienyeji hapa mkuu?Ugonjwa uligunduliwa na wana sayansi na siyo waganga wa kienyeji hivyo jukumu la kuuondoa lipo kwa wana sayansi mwenyewe
HALELUYATaarifa swafii! Tufungue shule, vyuo, shughuli za burudani na siasa, na shughuli zingine za biashara. Hii inatokana na idadi ya wagonjwa ni kidogo mno (129) compared to 60 million people. Tusiogope. Shule zifunguliwe haraka.