Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Most likely hapakuwa na kitu hicho. Ni kuhalalisha anayoyafanya kuhusu corona, kuzipa uzito sentensi zake za mitishamba na kuwa siyo kuwa anawasukumia wengine bali na yeye ndizo anazotumia.

Tushamuelewa siku nyingi sana, MTUNZI. Jiulize alipimwa na mashine ipi? ni ileile ya mbuzi na mapapai?
 
Kuna kiongoz aliwai kumwambia nyerere kuwa anaongoza ng'ombe na siyo watu, nadhani wale ngombe walizaana kuwa mamilioni ya ng'ombe na ndiyo hawa magufuli anawalisha nyasi na sumu eti kisa wana maziwa yaani hawatokufa.NIMEFAHAMU KUWA BINADAMU WAPO HUKO MBALI ILA NG'OMBE WAPO HAPA KWETU TENA NG'OMBE HASWA.
 
watoto wake.
1, JESCA
2. JOHN JR -ambaye ni mwanasheria ila si wakili
Kati ya hao nani kaugua COVID?
atujuze tuendelee kumuombea
Hivi ana watoto 2 tu? Nadhani rais alitaka kuwateka watu sakolojikale ile hoja zake zikubalike..
Soma hii Jaji mfawithi, exctly anayoyafanya rais kwetu,,,, tutakufa na tunakufa kama hivi

How U.S. Cities Tried to Stop The 1918 Flu Pandemic

.Philadelphia’s response was too little, too late. Dr. Wilmer Krusen, director of Public Health and Charities for the city, insisted mounting fatalities were not the “Spanish flu,” but rather just the normal flu. So on September 28, the city went forward with a Liberty Loan parade attended by tens of thousands of Philadelphians, spreading the disease like wildfire. In just 10 days, over 1,000 Philadelphians were dead, with another 200,000 sick. Only then did the city close saloons and theaters. By March 1919, over 15,000 citizens of Philadelphia had lost their lives.
 
Yours tehtehteh do you like being licked?!?!..of course you like it and giggling
Mzee mwenzangu unaanza matusi tena! nimekuandkia pale mwanzo... unatoka kwenye kujadili hoja... karibu Chato
 
Most likely hapakuwa na kitu hicho. Ni kuhalalisha anayoyafanya kuhusu corona, kuzipa uzito sentensi zake za mitishamba na kuwa siyo kuwa anawasukumia wengine bali na yeye ndizo anazotumia.
Mku usikae hapo kutafakari wagonjwa wawenzio subiri na wewe ukipata ngonjwa ndo utaamini kwamba corona ipo.
 
Kila mtu anajua kifo kipo, na kufa, ni lazima, Kwa hiyo, hatuwezi kuruhusu hofu ya kifo itawale kwenye maisha yetu ili Hali tunajua kufa kupo,

Mjadala wa namna ya kukwepa kufa, ni mzuri Sana, Ila ustufanye kusahau kuwa, kuna maisha yanaendelea na baada ya Corona bado kuna maisha
 
Magufuli anasisitiza tuendelee kuchukua tahadhali na kumuomba Mungu. Kama wiki ya kesho itaendelea hivi amepanga kufungua vyuo ili masomo yaendelee. Michezo iendelee

Booking za ndege zimejaa mpaka agasti, watu wanataka kuja Tz, hakuna karantini.

Daaah, jamani hii inakuwaje? ila kweli hali ipo hivi
Kubali au kataa Rais Magufuli atakuja kuwa shujaa katika kupambana na kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19 kwa jinsi ya maagizo yake. Anaweza kuwa siyo mwanasiasa mzuri lakini hakuna shaka anaitendea haki taaluma yake sayansi ya kemia. Ebu sikiliza wanasayansi wenzake wanavyosema baada ya tafiti zao.
 

Attachments

  • VID-20200518-WA0000.mp4
    15.9 MB
Taarifa swafii! Tufungue shule, vyuo, shughuli za burudani na siasa, na shughuli zingine za biashara. Hii inatokana na idadi ya wagonjwa ni kidogo mno (129) compared to 60 million people. Tusiogope. Shule zifunguliwe haraka.
HALELUYA
 
Back
Top Bottom