Magufuli akiongea dunia inasimama na kujadili hotuba yake
Kuna Nchi fulani zinataka kuleta mchezo hatutazihurumia
Mbona anapenda sana kukimbilia kanisani...Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kuhutubia Taifa leo Mei 17, 2020.
Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.
Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.
Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara.
JF will cover it LIVE
amasema yale maombi ya siku 3 Mungu ameshayajibuMara paap tunatangaziwa corona imesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap,! Ila kwa wale ambao mungu wao ni Mbowe na mzungu hawawezi kuelewaamasema yale maombi ya siku 3 Mungu ameshayajibu
Kazi kweli kweli tunakula live mbili juxtaposed.Usisahau kufatilia na ya Mwamba MBOWE
upo too negative kama jiwe. Mbowe kaingiaje hapa?Yap,! Ila kwa wale ambao mungu wao ni mbowe na mzungu hawawezi kuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app