Asante sana kwa taarifa hii, usingesema, wengine tungepotelea kwenye telenovelas marudio ya wiki.
P
Alafu hao wageni ni kutoka nchi mabeberuwakati wenzetu wanafunga mipaka sisi tunafikiria kuruhusu wageni kuingia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kwa taarifa hii, usingesema, wengine tungepotelea kwenye telenovelas marudio ya wiki.
P
Alafu hao wageni ni kutoka nchi mabeberuwakati wenzetu wanafunga mipaka sisi tunafikiria kuruhusu wageni kuingia
acha unaa wewe,eti machoziHii hotuba ya Magu imenitoa chozi,!
Wakuu naomba mwenye namba ya rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
wataipokeaje majirani wetuAmesisitiza kazi lazima zifanywe, hakuna lockdown wala shangazi yake na lockdown.
Anasema tunawasubiri majirani zetu mwakani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chizi ni wa kumpuuzaHuyu mzee tumsamehe tu. Huenda hayuko sawa kichwani. In fact hayupo sawa kichwani!
Hata mwanae wa dar jumapili iliyopita alipiga injili nzuri Sana wasafi .Kote kote wapo fiti si Moto Wala baridiJamaa amekuwa mchungaji wa mahubiri.
akifa mtu wako wa karibu utaelewa somo, usimsifie mtu ambaye yeye mwenyewe kajificha mkoani huko, ogopa sana
kama anajiamini arudi Dar tuendelee na mapambano
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila tukumbuke kua naomba nimnukuu waziri wa elimu wa Kenya "Kaburini HAKUNA masomo" mwisho wa kunukuuNikisikiliza kutoka Chato namuona mhe Magufuli akiwa imara zaidi.
Juzi nilitoa mada yenye kichwa chake "CORONA:SHULE VYUO VINAWEZA KUFUNGULIWA" ingawa mod wameunganisha na uzi mwingine... leo namsikia Mhe Magufuli akishindilia hoja kwamba soon ataruhusu shule na vyuo vifunguliwe [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Tusitishane...wale wa kupingapinga endeleeni sisi tunachapa kazi.
Kumbuka Mungu ndiye mlinzi wa maisha yako
I seeMagufuli yuko Geita ambayo iko chini ya Askofu wa Katoliki Niwermugizi Askofu huyo alipiga marufuki waumini wasisali kwa hofu ya corona akawafingia makanisa kwa imani yake haba KKKT
Geita hawakufunga sababu hawaabudu corona wanaabudu Mungu
Magufuli uzalendo umemshinda kaona aende zake kusali KKKT Geita
Amsifu mchungaji was usharika na Askofu Mshahara wa KKkT dayosisi ya Geita kwa kutofunga makanisa watu ili watu waendelee kuabudu