Thiago Silva
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 322
- 177
katika suala la michezo kuendelea amenifurahisha
(kuna wakati saa mbovu nayo huonesha muda sahihi)
(kuna wakati saa mbovu nayo huonesha muda sahihi)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Magufuli akiongea dunia inasimama na kujadili hotuba yake
Kuna Nchi fulani zinataka kuleta mchezo hatutazihurumia
Kuna kitu kimepangwa sijui.. Au ni muendelezo wa maigizo.
Dr. Kaleman leo akiwa Ofisi za TANESCO-GEITA alivaa Barakoa lakini ameenda Kanisani kavua na kuonesha hali ni shwari wale wote waliokuwa Kanisani leo itakuwa wameambiwa wasivae Barakoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waweza kuwa zaidi ya takataka kujifunza Vita kwa aliyevikimbia vitaMimi mtu asitmye mwelewa Rais Magufuli huwa nahesabu kama ni takataka tu.
Viba JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewe ebu angalia kuanzia april moja mpaka may 5 watu wangapi maarufu wamepukutika kwa korona? Wewe unadhani serikali yako ficha ficha jazz band itakwambia ukweli? 1 April alianza mtu maarufu Marini Hassan watu wakaenda kumzika bila kuchukua tahadhari akaondoka na wawili fasta huku kina Egbert Mkoko na wenzake wakipona(walitoa ushuhuda wa kupona korona),kigogo ndio aliyetoa taarifa marine kafa kwa korona na kaambukiza kina egbert lakini watu walipinga ila juzi nimeuona live egbert mkoko akitoa ushuhuda wa kupona korona!!Kitaa chenu wamepukutika wangapi
Magufuli sitokaa tena nijibu mambo yake anayozungumza wala sitokaa nimuanzishie thread humu. Nasema kweli kabisa! Leo nimejua kumbe hata nchi yoyote ile duniani inaweza kuongozwa na kiumbe wa ajabu kama wananchi wake na watu wa maamuzi hawatakuwa makini.Hawatangazi vifo wala idadi ya wagonjwa alafu anawaaminisha huu ugonjwa sio issue!
kazi kwenu wabongo!
Kwani ni tamko au hadi a one mwenendo wa hili gonjwa?
Nasikia Wajeremani, Wangereza na Wamerekani wanaandamana kwa maelfu wakilaumu serikali zao zimekuza Sana korona kuliko uhalisia. Wanahashtag yao "Corona is Fake"If you believe this you will believe anything.
Wenye akili tunaendelea kuchapa kazi huku tukichukua tahadhali.Watalii kutoka nchi gani??? Ni nchi IPI iliyonaakili timamu itaruhusu rain wake waje/warisk maisha Yao Tanzania.....Hivu unadhani hawajui kuwa Tz watu wanakufa kwa Corona na Data zinafichwa?????
Endeleeni kujitekenya
Kamanda naona kiwango chako cha uchambuzi kinadorora sana,sijui ni unazi au ni lazima vijana wakuone tuMbona makonda haku
Anasema mbona watu wa ukimwi hawatengwi kama corona. haaaa haaaaa
mpo wangapi sema upo na kigogo2014Mwambie hatuna muda wa kupoteza. Tuko na Kigogo 2014 tu.
Aaamin🤲Corona ipo atuja kataa ila tusiifanye kuwakubwa kuliko Mola wetu ,alieumba Mbingu na ardhi na vilivyomo, kwahiyo ni lazima tufaham alimfiki mja jambo bila ya Mola kuridhia , kama wew ni wakufa na corona hata uchukue tahadhari vip ,utaondoka tu , kuna vitu lazima tuviweke sana ,
Kuna Corona ,ila tujue kuna Mola ambae hata mda huu akisema corona iondoke inaondoka mda huu huu!
Tuchukueni tahadhari ila tusimsahau Mola amini katka Mola wako Fanya ibada zako chukua tahadhari na Mola atakuvusha! Katika hili ,ila tusijisahau kabsa nakuona taratibu za wazungu ndio zipo sahihi sio Kweli , na ndio maana hata wakat wa Ebola madaktari wa virus waliita jamii usika na kujadiliana ,kuhusu jinsi ya kukabiliana na huo ugonjwa na jamii ilitoa njia zilizokua zinatumika za jadi na walifanikiwa ,
Kitu tunapaswa kuelewa ni kwamba hata karne za nyuma magonjwa yamilipuko yalikuepo na walitumia njia zao kwa wakt huo na wakafanikiwa na hakukua na lockdown, sio kwamba naipinga lockdown hapana ,ni lazima tujaribu njia tofauti maana sio kote iyo lockdown ilipo kuwa implemented imeleta Matokeo mema hapa ,kwengine imetumika na ugonjwa bado warindima, tujiulize tu kama huu ugonjwa tutakua nao kwa miaka kumi ijayo ,je tutakaa lockdown for ten years !? Kwa uchumi upi!? Hata hiyo Marekani aitahimili huo mshindo wake !
Kitu kiliitajika kufanywa ni watalaam wa magonjwa ya maambukizi barani Africa walipaswa kukaa na kuandaa mukthadha mzuri wa kupamba na huu ugonjwa na sio kukopi kutoka nchi za magharibi, ambayo pengine sio rafiki na jamii zetu,
Hata wew hapo jiulize tu kwa hazina uliyo nayo unao uwezo wa kukaa katka total lockdown kwa mda gani !? Na je hapo hapo ukawa na uwezo wa kuwasaidia nduguzo vijijin bila ya weye kuyumba ,!? Kiukweli hili suala linaitaj busara ya hali ya juu sana!si kwa viongozi wala wananchi wenyew, naangalia sisi ambao lazima tutoke ndio tueke mkate mezan! Je serikali itakua na uwezo wakugawa chakula kipind cha lockdown hadi iishe!?
Cha msingi ni kuchukua na kufanya kazi amna jinsi, hakika mauti yapo na kama uliandika utakufa kwa hili janga lazima ahad itimie, ila kama ni wakuishi ,utaish tu hata kijiji kizima kipate maambukizi utapona na kuishi,
Mola atufanyie wepesi katka kila kwenye uzito
Amin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasiasa sio wa kuwaamini hawa watu,kama kweli hali ni shwari Mzee Baba arudi zake ufukweni(magogoni) na achape kazi yaani ziara kama zote ndio nitaamini hali ni shwari lakini hizi tantalila za kutuambia tuchape kazi wakati yeye yupo chimbo chato hapana nachanganya na zangu.Kuna kitu kimepangwa sijui.. Au ni muendelezo wa maigizo.
Dr. Kaleman leo akiwa Ofisi za TANESCO-GEITA alivaa Barakoa lakini ameenda Kanisani kavua na kuonesha hali ni shwari wale wote waliokuwa Kanisani leo itakuwa wameambiwa wasivae Barakoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣 unanilazimisha nijadili waumini wanaopongezwa kwa kutokuvaa barakoa???Kamanda naona kiwango chako cha uchambuzi kinadorora sana,sijui ni unazi au ni lazima vijana wakuone tu
Makonda anaingiaje humu?hebu tufumulie na kuichambua hii hotuba ya dunia,achana na Makonda kwanza
Kweli? Wametukanwaje?Kanyata, Kagame,Zambia zao yao kutukanwa leo
Ona ulivyompumbavu!HOTUBA NZURI ZA MAGUFULI? KWELI WEWE UPO MBALI NA UKWELI...HUYO LAUGHING STOCK ANAYESEMWA DUNIANI KWA UJINGA? MBONA HAJAZUNGUMZIA ILE DAWA YAKE FEKI ALIYOICHUKUA HUKO MALAGASY? KWANZA DUNIANI WANASIKIA KISWAHILI??? HAKUNA HATA MMOJA ANAYEVUTIWA NA HUYO MAGUFULI WAKO.