Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
AiseeInaezekana akadanganya kanisani kweli? Mimi naamini alivyosema ni kweli maana kiongozi wetu ameshika sana dini
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeInaezekana akadanganya kanisani kweli? Mimi naamini alivyosema ni kweli maana kiongozi wetu ameshika sana dini
Kwanini? Maana kama rais wa nchi ameongea kitu cha uongo na yeye Msigwa kama anajua ukweli asiseme kuwa hapo rais amesema uongo? Kwa sababu watu watazidi kuamini tiba ya kufukiza na malimao kwa sababu hata rais naye ameitumia kumtibu mwanae.Hawezi ku comment kwa vitu kama hivyo!
Amesema sasa anapiga hadi push ups kabisa kuonesha kwamba amepona.Siyo tu kujuaje kama aligua covid-19, baada ya kupona alijuaje amepona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kuwa ndungulile amefurushwa kwa sababu ya kusema kujifukiza siyo scientifically approved, akipingana na boss wake?Maana kama rais wa nchi ameongea kitu cha uongo na yeye Msigwa kama anajua ukweli asiseme kuwa hapo rais amesema uongo
Sasa vuta picha ungekuwa rais wa nchi kama ya Tanzania ni wangapi ungewablock?Umefanya jambo la muhimu sana kurudi! personally nilimis sana michango yako. Karibu tena!
What I am doing nowadays ni ku- block nonsense yoyote ninayeona ana ujinga/utoto wa kutojenga hoja bali matusi! And this has been comfortable with me!
Kwanini? Maana kama rais wa nchi ameongea kitu cha uongo na yeye Msigwa kama anajua ukweli asiseme kuwa hapo rais amesema uongo? Kwa sababu watu watazidi kuamini tiba ya kufukiza na malimao kwa sababu hata rais naye ameitumia kumtibu mwanae.
Kiongozi umepiga u turn!!? Hakika kila mtu ataona rangi halisi.Huyu bwana ana agenda ya siri na anaicheza kwenye uhai wa Raia 41m. Hii ni zaidi ya siri na muda ndio utakao jibu nakuifumbuwa siri hii.
Taifa lipo vipande viwili wanao mwamini mtemi kwamba zile risasi wakipigwa zitageuka maji na kamwe hazito wadhuru. Kwa bahati mbaya wanao amini wanaenda vitani wanauwawa na hawarudi kumwambia Kinjekitile yule mganga wake ni fake. Wengi wakafa na mwishowe na yeye akauwawa.
Miaka imepita sasa tumempata kinjekitile wa dunia yakisasa amesema jifukizen chapa kazi. Well kwa njaa zetu tunachapa kazi ila kati yetu wengi watapotea nambaya hawato toa majibu ya kweli. Itakuwa ni hatari juu ya hatari.
Yeye mwenyewe alishaitangazia dunia kuwa haamini test kits za mabeberu... Sasa imekuwaje Leo ameamini vipimo vya mtoto wake na siyo vile vya mapapai na mbuzi!!?Ni dhambi mbele za Mungu kutokumuamini kiongozi wako kiasi hicho. Alikutenda nini?? Mbona tulimuamini Mh Mbowe aliposema mwanaye kila akipimwa bado anao??
Suala la kujifukiza linafanywa sana na watu hutoa shuhuda zao mbalimbali humu, kwa hiyo alichoeleza Magufuli ni kama ambavyo watu wamekuwa wakieleza sana humu kuhusiana hilo na hiyo tiba ya kujifukiza. Kwahiyo inawezekana hawa watu pamoja na Rais mwenyewe wote wanaongopa kwa kutoa shuhuda za uongo na ndiyo maana naona ni muhimu Mh. Msigwa kusema ukweli kuwa rais Magufuli anaongopa maana anachofanya ni kuhalalisha tiba ambayo haina ushahidi wa kisayansi kama alivyoeleza Ndugulile.Unajua kuwa ndungulile amefurushwa kwa sababu ya kusema kujifukiza siyo scientifically approved, akipingana na boss wake?
Je unadhani angefanya nini ili watu wasife? Je kabla ya COVID watu walikuwa hawafi? Je umepitia takwimu za vifo za muda gani kuonyesha sasa hivi watu wanakufa zaidi? Je mtaani kwenu wamekufa watu wangapi kwa COVID?
Ni upepo tu utapita.
Hahahaaa mkuu Matunge yuko wapi siku hizi?Pale Rais anapogeuka kuwa Matunge herbalist.
Huyu bwana ana agenda ya siri na anaicheza kwenye uhai wa Raia 41m. Hii ni zaidi ya siri na muda ndio utakao jibu nakuifumbuwa siri hii.
Taifa lipo vipande viwili wanao mwamini mtemi kwamba zile risasi wakipigwa zitageuka maji na kamwe hazito wadhuru. Kwa bahati mbaya wanao amini wanaenda vitani wanauwawa na hawarudi kumwambia Kinjekitile yule mganga wake ni fake. Wengi wakafa na mwishowe na yeye akauwawa.
Miaka imepita sasa tumempata kinjekitile wa dunia yakisasa amesema jifukizen chapa kazi. Well kwa njaa zetu tunachapa kazi ila kati yetu wengi watapotea nambaya hawato toa majibu ya kweli. Itakuwa ni hatari juu ya hatari.
Je unaona ni sahihi kutumbuliwa Ndungulile kisa katofautina naye?Je unadhani angefanya nini ili watu wasife? Je kabla ya COVID watu walikuwa hawafi? Je umepitia takwimu za vifo za muda gani kuonyesha sasa hivi watu wanakufa zaidi? Je mtaani kwenu wamekufa watu wangapi kwa COVID?
Ni upepo tu utapita.