Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Prof Kabuni: Canada na sweden wamekubali kutusaidia kwenye sekta ya afya, elimu na TASAF, pia kuchangia bajeti.
Rais Magufuli: Usipende sana vya bure/msaada ni vibaya.
 
Ila ule msemo wa akili za kuambiwa changanya na zako ni vizuri ukatumika kipindi hiki.
 
Kuna siku tutapoteza viongozi wetu kwa utani huu wanayofanya. Wote hao hawajavaa Barakoa na jana walivaa katika sehemu mbalimbali pia wakitoka hapo wanakwenda kuingiliana na watu.
Wananchi wengine wanaacha kujikinga na Corona kwa utani anaofanya Rais. Rais anasema Corona badi ipo tuchukue taadhari na hapohapo anasema yeye hapendi hayo mabarakoa na wala havai
 
"Nyuki wakali wakiingia kwenye nyumba ya ibada, kiongozi wa dini ukawaambia waamini wako ingieni tu kwa ibada hamtaumwa kwa kuwa Mungu yuko humo, utakuwa unawatakia mema waamini?

Wakiumwa na hata akafa mtu lawama imwendee nani? Mimi najua hata mshumaa ukiobarikiwa unaungua ukiuwasha"

Askofu Niwemugiizi
 
Kwani Kabudi alivyoenda Madagascar kama ulibahatika kumuona, alifanya nini? Kama ulimuona, je avae barakoa ya nini tena? Za kwako chnanganya na za mwenzako
Kwamba yeye ana kinga tayari ?Ile ya Madagascar ni dawa ya kikohozi tu. Corona haina dawa na hakuna aliye imunised.
 
Nionyeshe Trump akipovaa na kwake wanakufa kama kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule kabla hajakamata mic,lazima wasanitize eneo alipo na pia wanakeep distance,
Lakini pia Trump kaanza dozi ya chloroquine na watu Wana speculate kwamba kaikwaa corona,
Mind you,chloquine sio dawa ya corona,Bali huyu mzee anazeeka vibaya
 
Wewe endelea kumfuata askofu tena ikiwezekana nenda na familia yako mkajifungie kwake kabisa mkisubiri corona iishe duniani.

Yani mkisikia hakuna kisa cha corona hata kimoja dunia nzima ndio mnatoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wale Edd na kuwahi masomo yao chuoni, nzuri hiyo.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Inate
Inategemea na Kinga ya mtu,,Kuna watu unaweza kuwa na corona,ukamkoholea na zikapita wiki mbili usimsikie hata kupiga chafya.

Hiyo inaitwa Herdy immunity.
 
Da Ummy atasoma ripoti ya ze maabara leo
Wewe ni mmoja katika wanaodai takwimu, ebu sikiliza video clip hii hapa chini

Your browser is not able to display this video.
 
Ahsante sana Rais wetu Kwa kufungua vyuo Na Kwa wadogo zetu kidato cha sita.
Sasa tujiandae kurudi vyuoni tukabukue, tukasome Kwa bidiii, tumepumzika vya kutosha, Na tumezurura vya kutosha bora sasa tukasome ili tutulizane
 
Common question
How does the coronavirus disease spread?

Data from published epidemiology and virologic studies provide evidence that COVID-19 is primarily transmitted from symptomatic people to others who are in close contact through respiratory droplets, by direct contact with infected persons, or by contact with contaminated objects and surfaces.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…