Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
take it easy! kuna utani ndani yake, mimi wala siyo mhusika wa walipa kodi hiyodah..me sijakutaja wewe mkuu😀
WHO hii hii ambayo mataifa ya Ulaya na Mrekani wanaifanyia uchunguzi kwa jinsi ilivgoshughulikia suala la corona?Kwa Tanzania kwa vile Jiwe ndiyo WHO yenu mko sawa kabisa. Endeleeni na huo UJIMA wenu
Iminza.Ng'waguku
Kuna siku tutapoteza viongozi wetu kwa utani huu wanayofanya. Wote hao hawajavaa Barakoa na jana walivaa katika sehemu mbalimbali pia wakitoka hapo wanakwenda kuingiliana na watu.Mimi nijuavyo,,Kama umekaa na mwenye corona,hamuongei,yeye na wewe mnavuta hewa na kutoa kupitia pua uwezekano wa kukuambukiza Ni mdogo,
Lakini muwe mnapiga story,mfano m acheza draft au karata mnaongea na kucheka,,Happ maambukizi lazima,maana unapoongea unatoa vapour ambazo zinakua na tinny droplets in aerosol form,na wanabaki hewan kwa dakika Kama 15 hivi,
Happ maana yake Kuna uwezekano maambukizi yalikuwa ya kutosha kuachieve immunity
Chadema wanamhofia na kumuogopa sana MaguUmevurugwa wewe
In God we Trust
Aseeeee...Hahahaa hahahaaaaa Magu kawachimba beat hakuna kuvaa barakoa. Haki ya Mungu huyu mzee ana shida sana!
Karibu
Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi.
Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake.
=====
Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa
Prof. Kabudi - Canada yaipongeza Tanzania kwa hatua ilizochukua dhidi ya CoronaVirus na wameahidi kusaidia kusaidia kwenye swala la elimu
Waziri Wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Canada. Canada imetupongeza kwa namna ambavyo tumepambana na Covid19. Wameahidi watatisaidia katika maeneo ya elimu na afya kwa kadiri mahitaji yetu yatakavyokuwa.
Nilimsisitizia Waziri yule kuwa sisi watupe pesa na tutajua ni maeneo gani katika nchi hii tutazipeleka, katika kuimarisha uchumi na katika kupambana na maradhi haya.
Juzi pia niliongea na Balozi wa Umoja wa Ulaya. Umoja wa Ulaya umeamua kutoa Dola milioni 38 ambazo zitakuja Tanzania kutusaidia katika maeneo mbalimbali baada ya hili janga la Coronavirus.
Pia niliongea na Balozi wa Sweden kwa njia hii hii ya mtandao. Sweden wataongeza Dola milioni 20 katika bajeti ya elimu na Dola milioni 10 kwenda TASAF
Ummy Mwalimu - Tulijiandaa kuchukua uwanja wa sabasaba ili kuwaweka wagonjwa wa corona lakini sasa wagonjwa wamepungua kwa hiyo uwanja umerudishwa
Suleiman Jaffo - Nyungu season two inaanza Jumatatu... pia tuwaambie watalii kuwa, wanakaribishwa Tanzania wakifika wanapewa zawadi ya nyungu
Magufuli - Corona bado ipo, imepungua ni kweli lakini tuendelee kuchukua tahadhari
- Msikubali vifaa vya corona vinavyogawiwa na taasisi mbalimbali, kama ni kupokea kifaa cha kupambana na corona, kipitie Wizara ya Afya na kiwe checked.
- Katika michango hii unaweza kuletewa hata barakoa zenye corona kwa kuwa trend yetu iko vizuri, vya bure ni vibaya
- Mtu akileta kifaa kikichunguzwa kikakutwa na korona apewe kesi ya jinai hata ya kuua kabisa
- Vyuo vikuu vyote vitafunguliwa tarehe 1/6/2020
Vijana wa kidato cha sita watarudi shuleni 1/6/2020, pia iandaliwe crash program ili isiharibu utaratibu wa wao kuingia chuo kikuu,
Sekondari na shule za msingi zinapewa muda wa kujitazama ila chuo kikuu wanajitambua
Michezo
- Kuanzia tarehe 1/6/2020 michezo yote ianze rasmi kuanzia ligi daraja la kwanza, taratibu za kushangilia na kushabikia zitatolewa muongozo na Wizara ya Afya
Immunity inaongezeka mtu akiwa anainteract, ukimfungia immunity inaweza kushuka kwa 30%
--
Kuanzia tar 27/28 Mei 2020 itaanza kuruhusu ndege kuingia nchini, na watalii hawatafungiwa kwa siku 14, atamuikwa na kama joto lake litakuwa chini ya ile jotoridi linalotakiwa,
Miti ya kujifukiza itolewe kama Complementary kwa watalii
Magufuli: Mungu amejibu maombi yetu.
Watakaoguswa kuanzia Ijumaa, Jumamosi na Jumapili tutumie siku hizo kumshukuru Mwenyezi Mungu
Kwamba yeye ana kinga tayari ?Ile ya Madagascar ni dawa ya kikohozi tu. Corona haina dawa na hakuna aliye imunised.Kwani Kabudi alivyoenda Madagascar kama ulibahatika kumuona, alifanya nini? Kama ulimuona, je avae barakoa ya nini tena? Za kwako chnanganya na za mwenzako
Haina shida,! Uzuri mtu akifika chuo halazimishwi kusoma,Mwanangu haendi
[emoji3][emoji3][emoji3] Nipe kidogo nichangamshe damu Watanzania achana nao mkuu.Yaani kuna mtu anatafuta chochote tu ilimladi akosoe, yuko tayali aseme mbona kipaza sauti ni cheusi badala ya kuwa cheupe.
Sent using kidole gumba
Yule kabla hajakamata mic,lazima wasanitize eneo alipo na pia wanakeep distance,
Wewe endelea kumfuata askofu tena ikiwezekana nenda na familia yako mkajifungie kwake kabisa mkisubiri corona iishe duniani."Nyuki wakali wakiingia kwenye nyumba ya ibada, kiongozi wa dini ukawaambia waamini wako ingieni tu kwa ibada hamtaumwa kwa kuwa Mungu yuko humo, utakuwa unawatakia mema waamini?
Wakiumwa na hata akafa mtu lawama imwendee nani? Mimi najua hata mshumaa ukiobarikiwa unaungua ukiuwasha"
Askofu Niwemugiizi
Inategemea na Kinga ya mtu,,Kuna watu unaweza kuwa na corona,ukamkoholea na zikapita wiki mbili usimsikie hata kupiga chafya.Kuna siku tutapoteza viongozi wetu kwa utani huu wanayofanya. Wote hao hawajavaa Barakoa na jana walivaa katika sehemu mbalimbali pia wakitoka hapo wanakwenda kuingiliana na watu.
Wananchi wengine wanaacha kujikinga na Corona kwa utani anaofanya Rais. Rais anasema Corona badi ipo tuchukue taadhari na hapohapo anasema yeye hapendi hayo mabarakoa na wala havai
Wewe ni mmoja katika wanaodai takwimu, ebu sikiliza video clip hii hapa chiniDa Ummy atasoma ripoti ya ze maabara leo
Common questionCOVID haimbukizwi kwa kupitia kinywani tu hata ukivuta oxygen kama kuna mtu aliyenayo karibu yako unaweza kabisa kuipata. Kumbuka kuna wengi wanayo lakini ni ASYMPTOM na ukiwa jirani na mtu aliyenayo huku wewe umevaa 😷 unapunguza percentage ya kuambukizwa toka 100% hadi 4% that’s HUGE. Please protect yourself and your loved ones.
Say whaaaat? Hii nchi sihami ng'ooooMiti ya kujifukiza itolewe kama Complementary kwa watalii