Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Usisahau machoni pia kama utapeleka mkono wenye virus 🦠 kwenye macho.

Inaambukiza pia kupitia mate mate yanayotoka mdomo ni. Usipokuwa na barakoa mate yanaweza kutuma na kutua ukutani, juu ya meza, kwenye kutasa ni. Anaeyashika mate haya ni rahisi kupata maambukizi.
 
MBONA ILE TUME IPO KIMYA?
ile ni mojawapo ya vitu serikali hii imechemka....ni sawa na kujivua nguo tu hadharani! It was not a good idea ku discredit taasisi muhimu kama ile hadharani (kwa maoni yangu).
 
Magufuli ni changer kwenye kila eneo.

Hatimaye ametokomeza Corona Tanzania nzima

Watanzania tunamhitaji kwa miaka 50 ijayo

Wapinzani wote say yeeeeiiiiyeeeee
 
Aaaah kumbe we we ni macho manne
 
Magufuli ni changer kwenye kila eneo.

Hatimaye ametokomeza Corona Tanzania nzima

Watanzania tunamhitaji kwa miaka 50 ijayo

Wapinzani wote say yeeeeiiiiyeeeee
 
Wakuu tupeane elimu na ufafanuzi wa neno la mkuu mapema leo.Maneno ya wakubwa dawa..." Hivi kwa mfano wewe Moleli kule jimbo lako kuna hospitali ikajengwa ikamalizwa halafu usipeleke madawa na hata kwenye jimbo lako Sina usileke madawa, madakitari na uko naibu waziri maana yake unastahili? Message sent solidarity starts at home as well"



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa hahahaaaaa Magu kawachimba beat hakuna kuvaa barakoa. Haki ya Mungu huyu mzee ana shida sana!
Yanamwogopa ile mbaya, ona li Kabudi (isome Kisukuma hiyo) linavyotoa macho hapo mbele wakati siku chache zilizopita lilikuwa linavaa Barakuwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…