Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

ukipiga nyungu ndiyo tayari umeshajikinga na korona ndiyomaana wahusika hawavai tena barakoa kwenye mikusanyiko?

ukimaliza dozi ya malaria hutumii tena chandarua?
Hayo ni maoni yako wewe kuhusu barakoa....ninachoelewa Mimi hakuna aliyekatazwa kuvaa barakoa...viongozi wetu akiwemo JPM wanaendelea kusisitiza tuendelee kuchukua tahadhari zikiwemo za kuvaa barakoa of course, kunawa mikono kwa sabuni, sanitizer, social distancing na kadhalika...pia wanasema tuondoe hofu kwani hofu ni mbaya kuliko Corona yenyewe...alipokuwa Singida Jana JPM aliwasifu wanaSingida kuwa anaona wameondoa hofu ndiyo maana pengine hawajavaa barakoa...lakini akasisitiza tuendelee kuchukua tahadhari...ila wabaya wa JPM wakaja na hoja ya upotoshaji kwamba JPM ameponda uvaaji wa barakoa....dah...Leo wakati anawaapisha baadhi ya viongozi wengi walikuwa hawana barakoa lakini Nina hakika walichukua precautions nyingine Kama sanitizer, kunawa mikono, kupima body temperature, social distancing na kadhalika...ushauri wangu kwako na watu wa aina yako usijiingize kichwa kichwa kushutumu Kila kitu bila kwenda kwa undani ...nikiulize hivi katika picha nyingi za Trump, Putin na other leaders umewahi kuwaona wamevaa barakoa?! Kama sivyo unadhani hawajachukua tahadhari nyingine?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hawavai barakoa kumuunga mheshimiwa Rais mkono
Jamani huu unafiki utakuja kuondoka na wengi
 
Ni uamuzi mzuri,heri maisha yaendelee huku tukiendelea kuchukua tahadhari.
 
Uelewe! Barakoa hutumika sehemu ambazo hakuna uwezekano wa kukaa mbali mbali kiasi cha angalau mita moja kati ya mtu na mtu kama vile kwenye vyombo vya usafiri wa umma.
Kuna kitabu chaitwa Animal Farm- George Orwell. Kasome utawala wa wanyama, ulivyokuwa unapindua pindua sheria na kanuni kwa faida yao.
 
Kwa vile kuna tight grip ya news, hatujajua (lkn tutajua tu), watoto watakufa! bado corona ipo! shuleni ni mkusanyiko mkubwa sana. Hakuna haja ya haraka kuhatarisha maisha ya watoto!
 
Dunia hii michezo ni mingi. Sijui nani yuko sahihi kati ya Dunia na Magu. Akili maana yake ni kudanganya wengine.

Mi napita tu, ngoja waje wajuzi watupe ya jikoni.
 
Hukumsikia Lijuakali alisema chadema walitegemea kile kipindi wamejiweka karantin wangekufa wabunge anagalau watatu ili waseme waliona mbali na hako kajamaa ka G sam ndio kalipewa kazi ya kitangaza tanzia,!

Sasa hivi kana hasira kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Waalimu wao vipi? Wenye Chronic debilitating diseases nao itakuaje au wakifa 1/10 ni negligible kwa taifa?
...kama ilivyo kwa kada zingine serikalini kazi hazikusimama....ziliendelea pamoja na covid19....kwa nini kwa walimu iwe issue kurejea kazini?

Hili tulishalikoroga tangia 2015, ngoja tulinywe hivyo hivyo.
 
Hayo ni maoni yako wewe kuhusu barakoa....ninachoelewa Mimi hakuna aliyekatazwa kuvaa barakoa...viongozi wetu akiwemo JPM wanaendelea kusisitiza tuendelee kuchukua tahadhari zikiwemo za kuvaa barakoa of course, kunawa mikono kwa sabuni, sanitizer, social distancing na kadhalika...
weka hisia pembeni tutumie tu common sense.

Pia fungua macho vizuri sijashutumu bali nimehoji/ nimeuliza

Sijamzungumzia anayehutubia kuwa hajavaa barakoa, Nawazungumzia wahudhuriaji mbona wamekusanyika na hawavai barakoa?

Watoto wako wakienda shule/chuo wakiwa darasani wasivae barakoa kwasababu wametumia sanitizer, wamepiga nyungu na wamekaa umbali wa mita 1?
 
Back
Top Bottom