Ighombe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 1,181
- 675
Aisee....na nyomi ya watoto nyumbani plus Quarantine ya CORONA kula ada is likely possibleSource,Mhemishiwa Raisi,now now. Mliokula ada mtajijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee....na nyomi ya watoto nyumbani plus Quarantine ya CORONA kula ada is likely possibleSource,Mhemishiwa Raisi,now now. Mliokula ada mtajijua
Hayo ni maoni yako wewe kuhusu barakoa....ninachoelewa Mimi hakuna aliyekatazwa kuvaa barakoa...viongozi wetu akiwemo JPM wanaendelea kusisitiza tuendelee kuchukua tahadhari zikiwemo za kuvaa barakoa of course, kunawa mikono kwa sabuni, sanitizer, social distancing na kadhalika...pia wanasema tuondoe hofu kwani hofu ni mbaya kuliko Corona yenyewe...alipokuwa Singida Jana JPM aliwasifu wanaSingida kuwa anaona wameondoa hofu ndiyo maana pengine hawajavaa barakoa...lakini akasisitiza tuendelee kuchukua tahadhari...ila wabaya wa JPM wakaja na hoja ya upotoshaji kwamba JPM ameponda uvaaji wa barakoa....dah...Leo wakati anawaapisha baadhi ya viongozi wengi walikuwa hawana barakoa lakini Nina hakika walichukua precautions nyingine Kama sanitizer, kunawa mikono, kupima body temperature, social distancing na kadhalika...ushauri wangu kwako na watu wa aina yako usijiingize kichwa kichwa kushutumu Kila kitu bila kwenda kwa undani ...nikiulize hivi katika picha nyingi za Trump, Putin na other leaders umewahi kuwaona wamevaa barakoa?! Kama sivyo unadhani hawajachukua tahadhari nyingine?ukipiga nyungu ndiyo tayari umeshajikinga na korona ndiyomaana wahusika hawavai tena barakoa kwenye mikusanyiko?
ukimaliza dozi ya malaria hutumii tena chandarua?
Kuna kitabu chaitwa Animal Farm- George Orwell. Kasome utawala wa wanyama, ulivyokuwa unapindua pindua sheria na kanuni kwa faida yao.Uelewe! Barakoa hutumika sehemu ambazo hakuna uwezekano wa kukaa mbali mbali kiasi cha angalau mita moja kati ya mtu na mtu kama vile kwenye vyombo vya usafiri wa umma.
subiri ulutewe maiti na maisha yaendeleeNi uamuzi mzuri,heri maisha yaendelee huku tukiendelea kuchukua tahadhari.
Ni maoni yako tu,labda utujibu hili;subiri ulutewe maiti na maisha yaendelee
Mimi siyo dada all in all, a dada also ahuman being kama alivyo mama yko, ni dada!Ni maoni yako tu dada
OkMimi siyo dada all in all, a dada also ahuman being kama alivyo mama yko, ni dada!
Hili swali najiuliza sanaaa,sipati majibu.Hivi rais anavyosema hali ni shwari sasa hivi, ni lini alisema hali ni tete? Ni takwimu zipi anazolinganisha hali shwari na tete?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hukumsikia Lijuakali alisema chadema walitegemea kile kipindi wamejiweka karantin wangekufa wabunge anagalau watatu ili waseme waliona mbali na hako kajamaa ka G sam ndio kalipewa kazi ya kitangaza tanzia,!
Sasa hivi kana hasira kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe endelea kusujudu tu labda urafikiriwa
Hivi unavyomsujudu Mbowe kumbe huwa unafikiriwa?Wewe endelea kusujudu tu labda urafikiriwa
In God we Trust
...kama ilivyo kwa kada zingine serikalini kazi hazikusimama....ziliendelea pamoja na covid19....kwa nini kwa walimu iwe issue kurejea kazini?Waalimu wao vipi? Wenye Chronic debilitating diseases nao itakuaje au wakifa 1/10 ni negligible kwa taifa?
weka hisia pembeni tutumie tu common sense.Hayo ni maoni yako wewe kuhusu barakoa....ninachoelewa Mimi hakuna aliyekatazwa kuvaa barakoa...viongozi wetu akiwemo JPM wanaendelea kusisitiza tuendelee kuchukua tahadhari zikiwemo za kuvaa barakoa of course, kunawa mikono kwa sabuni, sanitizer, social distancing na kadhalika...