Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Dawa ya Covid-19 imepatikana Tanzania hata Madagascar wameshapewa kibali kuuza dawa yao na guess who?
 
Haya mambo ndio hayatakiwi na serikali sasa...wewe cha muhimu chukua tahadhari kadiri uwezavyo watu zimeshawafyatuka.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 17/03/2020 hadi tarehe 21/05/2020 au tarehe 01/06/2020 ni miezi mitatu labda kuna namna nyingine ya kuhesabu miezi.
 
Ok endeles wewe mwenzetu unayetumia common sense na sisi wengine wakiwemo wale kwenye uapishaji viongozi hatutumii common sense...bila Shaka mwenzetu umebarikiwa zaidi kuwa na akili zaidi..
 
Ok endeles wewe mwenzetu unayetumia common sense na sisi wengine wakiwemo wale kwenye uapishaji viongozi hatutumii common sense...bila Shaka mwenzetu umebarikiwa zaidi kuwa na akili zaidi..
hapa tayari jazba zimekuzidi.
 
Tarehe 17/03/2020 hadi tarehe 21/05/2020 au tarehe 01/06/2020 ni miezi mitatu labda kuna namna nyingine ya kuhesabu miezi.
Vyuo vikuu vingi vilianza kufunga kuanzia Febr 23s....mfano udsm walifunga tarehe 28 ya mwez wa pili...kwahyo ikifika tarh 28 ya mwez wa tano itakuwa imetimia miez mitatu kamili
 
Msiwapeleke wadogo zetu kuwatesa toeni kabisa hela zao za mkopo!!
 
Herd immunity program. Ila lazima wengi wafe kwanza. Mimi na wewe hatujui kina nani watakufa na kina nani watafaulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…