KITAULO
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,926
- 2,797
Maambukizi yamepungua huku umeacha kupima
Tunapima kwa macho na kuangalia temperature ya mtu tu...tumeamua hivyo ..now tupo busy kuokoa uchumi wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maambukizi yamepungua huku umeacha kupima
Dawa ya Covid-19 imepatikana Tanzania hata Madagascar wameshapewa kibali kuuza dawa yao na guess who?Watalii awatawekwa isolation ila ni kupimwa joto tuu...Huku tuna ambiwa kua incubation ya virusi ni kuanzia siku 2-14. Huyu mtalii tusema amepata maambukizi lakini aonyeshi dalili..Then baada ya siku 5 au 10 yupo nchini dalili zikajitokeza huku akiwa ameisha interact na watu wengi. Je,si inaweza kua chanzo cha kusambaza maambukizi?
Utalii tusubiri jmn..
Heading (argument) yako ni ya kijinga
Ova!
Haya mambo ndio hayatakiwi na serikali sasa...wewe cha muhimu chukua tahadhari kadiri uwezavyo watu zimeshawafyatuka.....Watalii awatawekwa isolation ila ni kupimwa joto tuu...Huku tuna ambiwa kua incubation ya virusi ni kuanzia siku 2-14. Huyu mtalii tusema amepata maambukizi lakini aonyeshi dalili..Then baada ya siku 5 au 10 yupo nchini dalili zikajitokeza huku akiwa ameisha interact na watu wengi. Je,si inaweza kua chanzo cha kusambaza maambukizi?
Utalii tusubiri jmn..
Kwa beberu tulikuwa tunataka mkopo? Kwanza beberu ni beberu tu hakuna kuchukua chochote kwakeTofautisha mkopo na msaada
Ok endeles wewe mwenzetu unayetumia common sense na sisi wengine wakiwemo wale kwenye uapishaji viongozi hatutumii common sense...bila Shaka mwenzetu umebarikiwa zaidi kuwa na akili zaidi..weka hisia pembeni tutumie tu common sense.
pia fungua macho vizuri sijashutumu bali nimehoji/nimeuliza
sijamzungumzia anayehutubia kuwa hajavaa barakoa,
nawazungumzia wahudhuriaji mbona wamekusanyika na hawavai barakoa??
watoto wako wakienda shule/chuo wakiwa darasani wasivae barakoa kwasababu wametumia sanitizer,wamepiga nyungu na wamekaa umbali wa mita 1??
hapa tayari jazba zimekuzidi.Ok endeles wewe mwenzetu unayetumia common sense na sisi wengine wakiwemo wale kwenye uapishaji viongozi hatutumii common sense...bila Shaka mwenzetu umebarikiwa zaidi kuwa na akili zaidi..
Wapi nmeandika natafuta ajira? Au ndio umeanza kuchachawa kabla hata ya kipigo cha oktoba?Mimi siyo kama wewe mramba viatu, mimi ni mkulima mkubwa sina haja ya kuwapigia watu magoti ili nipate ajira kama wewe
In God we Trust
Vyuo vikuu vingi vilianza kufunga kuanzia Febr 23s....mfano udsm walifunga tarehe 28 ya mwez wa pili...kwahyo ikifika tarh 28 ya mwez wa tano itakuwa imetimia miez mitatu kamiliTarehe 17/03/2020 hadi tarehe 21/05/2020 au tarehe 01/06/2020 ni miezi mitatu labda kuna namna nyingine ya kuhesabu miezi.
Naona msumari umekuingiaWapi nmeandika natafuta ajira? Au ndio umeanza kuchachawa kabla hata ya kipigo cha oktoba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Herd immunity program. Ila lazima wengi wafe kwanza. Mimi na wewe hatujui kina nani watakufa na kina nani watafaulu.Watalii awatawekwa isolation ila ni kupimwa joto tuu...Huku tuna ambiwa kua incubation ya virusi ni kuanzia siku 2-14. Huyu mtalii tusema amepata maambukizi lakini aonyeshi dalili..Then baada ya siku 5 au 10 yupo nchini dalili zikajitokeza huku akiwa ameisha interact na watu wengi. Je,si inaweza kua chanzo cha kusambaza maambukizi?
Utalii tusubiri jmn..
Hatari sanaSuala sio kufungua shule na vyuo je mmejindaa? Angalieni wenzenu waliojiaandaa wanaojali maisha ya watu.View attachment 1455907