Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Watalii awatawekwa isolation ila ni kupimwa joto tuu...Huku tuna ambiwa kua incubation ya virusi ni kuanzia siku 2-14. Huyu mtalii tusema amepata maambukizi lakini aonyeshi dalili..Then baada ya siku 5 au 10 yupo nchini dalili zikajitokeza huku akiwa ameisha interact na watu wengi. Je,si inaweza kua chanzo cha kusambaza maambukizi?
Utalii tusubiri jmn..
Dawa ya Covid-19 imepatikana Tanzania hata Madagascar wameshapewa kibali kuuza dawa yao na guess who?
 
Watalii awatawekwa isolation ila ni kupimwa joto tuu...Huku tuna ambiwa kua incubation ya virusi ni kuanzia siku 2-14. Huyu mtalii tusema amepata maambukizi lakini aonyeshi dalili..Then baada ya siku 5 au 10 yupo nchini dalili zikajitokeza huku akiwa ameisha interact na watu wengi. Je,si inaweza kua chanzo cha kusambaza maambukizi?
Utalii tusubiri jmn..
Haya mambo ndio hayatakiwi na serikali sasa...wewe cha muhimu chukua tahadhari kadiri uwezavyo watu zimeshawafyatuka.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 17/03/2020 hadi tarehe 21/05/2020 au tarehe 01/06/2020 ni miezi mitatu labda kuna namna nyingine ya kuhesabu miezi.
 
weka hisia pembeni tutumie tu common sense.

pia fungua macho vizuri sijashutumu bali nimehoji/nimeuliza

sijamzungumzia anayehutubia kuwa hajavaa barakoa,
nawazungumzia wahudhuriaji mbona wamekusanyika na hawavai barakoa??
watoto wako wakienda shule/chuo wakiwa darasani wasivae barakoa kwasababu wametumia sanitizer,wamepiga nyungu na wamekaa umbali wa mita 1??
Ok endeles wewe mwenzetu unayetumia common sense na sisi wengine wakiwemo wale kwenye uapishaji viongozi hatutumii common sense...bila Shaka mwenzetu umebarikiwa zaidi kuwa na akili zaidi..
 
hapa tayari jazba zimekuzidi.
 
IMG_20200521_174132.jpg
 
Tarehe 17/03/2020 hadi tarehe 21/05/2020 au tarehe 01/06/2020 ni miezi mitatu labda kuna namna nyingine ya kuhesabu miezi.
Vyuo vikuu vingi vilianza kufunga kuanzia Febr 23s....mfano udsm walifunga tarehe 28 ya mwez wa pili...kwahyo ikifika tarh 28 ya mwez wa tano itakuwa imetimia miez mitatu kamili
 
Msiwapeleke wadogo zetu kuwatesa toeni kabisa hela zao za mkopo!!
 
Watalii awatawekwa isolation ila ni kupimwa joto tuu...Huku tuna ambiwa kua incubation ya virusi ni kuanzia siku 2-14. Huyu mtalii tusema amepata maambukizi lakini aonyeshi dalili..Then baada ya siku 5 au 10 yupo nchini dalili zikajitokeza huku akiwa ameisha interact na watu wengi. Je,si inaweza kua chanzo cha kusambaza maambukizi?
Utalii tusubiri jmn..
Herd immunity program. Ila lazima wengi wafe kwanza. Mimi na wewe hatujui kina nani watakufa na kina nani watafaulu.
 
Back
Top Bottom