Jadason Monga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 366
- 348
kazi imeanza tuwe macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahah . . . .kwa hiyo ulikuwa busy kuwahesabu waliovaa barakoa si ndio?Duuh hamna aliyeváa Barakoa hata mmoja. Hii ni hatari sana aisee
Sawasawa mkuu, maana nilikuwa nishaanza kwenda katikati ya mji sijavaa barakoaCOVID haimbukizwi kwa kupitia kinywani tu hata ukivuta oxygen kama kuna mtu aliyenayo karibu yako unaweza kabisa kuipata. Kumbuka kuna wengi wanayo lakini ni ASYMPTOM na ukiwa jirani na mtu aliyenayo huku wewe umevaa 😷 unapunguza percentage ya kuambukizwa toka 100% hadi 4% that’s HUGE. Please protect yourself and your loved ones.
CCM hamtaki tu ku accept; kutakuwa na shida pahala tena ni kubwa!! Sema tu mmeamua kufa kiumeIna maana tuwavumilie wanaozingua kwakigezo tu umechoka kuteua nakutengua, na wengine wasistaafu kwà kigezo tu kutakuwa na uteuzi!! !?
Mbona una mawazo FINYU Sana!!!
Typed Using KIDOLE
Ila msiombe misaada kwa mabeberuRaisi ninachojivunia kwako ni hiki kuwaambia ukweli watu,na kutufundisha kujitambua dhidi ya mabeberu.Ikumbukwe ya kuwa mabeberu Wana rugha laini na sura za upole ila wanachokuwazia mioyoni mwao usipime.
Tofautisha mkopo na msaadaIla msiombe misaada kwa mabeberu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]johnthebaptist,
Wote wako under terror!under tension! Nyuso za woga dhahiri. Nyuso kama hizi tulikuwa tunaziona wakati wa IDD Amin anaongea namawaziri wake!
Hapo alipo akisema kilammoja "ambusu" mwenzake watafanya huku wakijua wazi kuna hatari ya kufanya hivyo due to corona!
Lowasa kaingia Ikulu burudani tuWapinga maendeleo walikuwepo tangu enzi za Nyerere. Na kuwapuuza tu.
Safi sana karudi nimependa.
Very unscientific, hata kama wakikaa 5 meters apart, kirusi akikaa hewani atadumu kwa muda, ukimaliza mkutano unakutana nae wakati unatawanyika.Uelewe! Barakoa hutumika sehemu ambazo hakuna uwezekano wa kukaa mbali mbali kiasi cha angalau mita moja kati ya mtu na mtu kama vile kwenye vyombo vya usafiri wa umma.
Wavae za nini? Corona imeshindwa!!!!!Duuh hamna aliyeváa Barakoa hata mmoja. Hii ni hatari sana aisee