Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Sisi tutafanya hivi
udsm-39329382.png
 
Herd immunity program. Ila lazima wengi wafe kwanza. Mimi na wewe hatujui kina nani watakufa na kina nani watafaulu.
Herd immunity si kitu cha uhakika. Spain wali practise hii kitu wakati wa outbreak ya spanish flu. Well things didint go well. Walipoteza watu wengi vibaya mno.

Ni moja ya theory xa kisayansi ambazo practicaly hazina 100% ya kuwin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
COVID haimbukizwi kwa kupitia kinywani tu hata ukivuta oxygen kama kuna mtu aliyenayo karibu yako unaweza kabisa kuipata. Kumbuka kuna wengi wanayo lakini ni ASYMPTOM na ukiwa jirani na mtu aliyenayo huku wewe umevaa 😷 unapunguza percentage ya kuambukizwa toka 100% hadi 4% that’s HUGE. Please protect yourself and your loved ones.
Kwenye oxygen?
 
Haya ngoja tuone hizi bahati nasibu zitakuja na matokeo gani, siye wazee wa kufanya maombi na kujifukiza nyungu....
 
Watanzania ni wabunifu na watundu sana.
Wanajua kuzoea shida haraka na kupunguza makali yake.
Mbinu za kujifukiza, kunywa juisi ya tangawizi, limau, vituunguu na pilipili kichaa imewafanya wengi wanapohisi kuwa na tatizo la mafua au homa, hutumia vitu hivi na kujifungia ndani na kujiweka karantini (isolation room) wakiendelea kupata huduma za madawa haya na lishe nzuri.
Wameambiwa corona haina tiba kwa hiyo kupelekwa hospitali ni kuepuka kuambukiza wengine na kupata huduma zingine za kitabibu kwa magonjwa mengine yanayojitokeza baada ya mtu kuugua corona. Mbinu zote mbili za kujiepusha kuwaambukiza wengine na kutibu magonjwa mengine tofautu na corona, zinatumika hata mtu akiwa nyumbani (isolation room) kwa mafanikio makubwa.
Mbinu hii pengine inaweza kuwa ngumu kidogo kwa watu wanaopanga nyumba moja na hawawezi kupata chumba cha kujiweka karantini( isolation room).
Pengine mbinu hii inaweza kuwa imepunguza idadi ya wagonjwa wanaotibiwa na Serikali na kwa ujumla inaweza kuwa salama na nafuu kwa mgonjwa kuliko kuchanganywa na wagonjwa wengi wa corona.
Tukumbuke vipimo vyetu vimethibitika kuwa si sasa asilimia mia moja kwa hiyo mgonjwa anaweza kupimwa na akaonekana ana maambulizi na kupelekwa kwenye isolation hospital na baadaye huko huko akaambukizwa corona ambayo alikuwa hana.
Hongera Watanzania, Hongera Mh. Rais Makufuli na mkuu wa mkoa wa Dar kwa ujasiri wa kupambana na ugonjwa wa corona kwa mbinu za kisaikolojia na kushawishi watu kutumia dawa mbadala badala ya kutegemea zile za wazungu tu.
Mzungu ni sawa na kuku wa kisasa, akiugua kila kitu atategemea daktari aje amuhudumie.
Mtanzania ni sawa na kuku wa kienyeji, chakula na dawa anajitafutia mwenyewe na ukufika muda wa kuingia ndani hurudi mwenyewe bila kushurutishwa na mtu.
 
Magufuli pindi yuko njaini kuja Dodoma akiwa mkoani Singida alisema anafurahi haoni waliovaa barakoa, na kisema hata yeye havai na mkuu wa mkoa na walio katika msafara hawavai ni kuonyesha hatuogopi corona.

Leo tena dodoma naona ana discourage uvaaji wa barakoa kama njia ya kujikinga na maambukizi ya corona.

Naomba kufahamu anaoosema watu wachukue tahadhari ni tahadhari ipi ya kujikinga na corona ambayo magufuli anahamasisha raia wa nchi hii?
 
Za kuambiwa changanya na zako mkuu
 
Yaani na wewe bado unajihangaisha na matamko ya huyu Bwana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona huku mtaani ni mwendo wa kujiachia tu!
Ukivaa barakoa wanakushangaa...
Biashara ya barakoa, imekufa!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyo mzee unamsikiliza unatambaa zako . usitumie akiri nyingi kufikiria alicho ongea
Tatizo anaongea saana. Angekuwa na uwezo wa kuingia vichwani mwa viongozi anaokuwa nao wakati akionge na kuyafahamu wanayomwazia, sijui ingekuwaje.
 
Back
Top Bottom