Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna tofauti na wanaotaka lockdown. Mazingira ya Tanzania usilinganishe na ulaya.Suala sio kufungua shule na vyuo je mmejindaa? Angalieni wenzenu waliojiaandaa wanaojali maisha ya watu.View attachment 1455907
Herd immunity si kitu cha uhakika. Spain wali practise hii kitu wakati wa outbreak ya spanish flu. Well things didint go well. Walipoteza watu wengi vibaya mno.Herd immunity program. Ila lazima wengi wafe kwanza. Mimi na wewe hatujui kina nani watakufa na kina nani watafaulu.
Yaan Mzungu atoke huko. Aaache kwenda serengeti aje angaalie watu wanapiga nyugu.. like seriously.? Realy?
Kwenye oxygen?COVID haimbukizwi kwa kupitia kinywani tu hata ukivuta oxygen kama kuna mtu aliyenayo karibu yako unaweza kabisa kuipata. Kumbuka kuna wengi wanayo lakini ni ASYMPTOM na ukiwa jirani na mtu aliyenayo huku wewe umevaa 😷 unapunguza percentage ya kuambukizwa toka 100% hadi 4% that’s HUGE. Please protect yourself and your loved ones.
Accept basi wewe Mkuu!!!CCM hamtaki tu ku accept; kutakuwa na shida pahala tena ni kubwa!! Sema tu mmeamua kufa kiume
Za kuambiwa changanya na zako mkuuMagufuli pindi yuko njaini kuja Dodoma akiwa mkoani Singida alisema anafurahi haoni waliovaa barakoa, na kisema hata yeye havai na mkuu wa mkoa na walio katika msafara hawavai ni kuonyesha hatuogopi corona.
Leo tena dodoma naona ana discourage uvaaji wa barakoa kama njia ya kujikinga na maambukizi ya corona.
Naomba kufahamu anaoosema watu wachukue tahadhari ni tahadhari ipi ya kujikinga na corona ambayo magufuli anahamasisha raia wa nchi hii?
Yaani na wewe bado unajihangaisha na matamko ya huyu Bwana?Magufuli pindi yuko njaini kuja Dodoma akiwa mkoani Singida alisema anafurahi haoni waliovaa barakoa, na kisema hata yeye havai na mkuu wa mkoa na walio katika msafara hawavai ni kuonyesha hatuogopi corona.
Leo tena dodoma naona ana discourage uvaaji wa barakoa kama njia ya kujikinga na maambukizi ya corona.
Naomba kufahamu anaoosema watu wachukue tahadhari ni tahadhari ipi ya kujikinga na corona ambayo magufuli anahamasisha raia wa nchi hii?
Tatizo anaongea saana. Angekuwa na uwezo wa kuingia vichwani mwa viongozi anaokuwa nao wakati akionge na kuyafahamu wanayomwazia, sijui ingekuwaje.Huyo mzee unamsikiliza unatambaa zako . usitumie akiri nyingi kufikiria alicho ongea