Rais Magufuli, Haya mateso mnayowapa wagonjwa wa CORONA ni sawa na kuwapa hukumu ya kifo!

Rais Magufuli, Haya mateso mnayowapa wagonjwa wa CORONA ni sawa na kuwapa hukumu ya kifo!

field marshall1

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2017
Posts
2,061
Reaction score
4,686
Mambo mengi hayaeleweki kwenye utawala huu, Kuanzia kauli za kupingana za Makonda, kauli zisizoeleweka za waziri Ummy Mwalimu, Kauli tofauti (mabishano) kati ya Makonda VS Magufuli kuhusu kupiga dawa katika jiji la Dar Es Salaam, idadi ya wagonjwa waliopata nafuu au kupona tofauti kati ya Ummy Mwalimu VS Magufuli, Tofauti ya jinsi ya kutibu ugonjwa kati ya Magufuli VS Dr. Ndugulile (Huyo Magufuli anasema tujifukize wakati Ndugulile anasema hapana).

Kwa hali tuliyofikia siyo nzuri, Rais aliona kabisa kuwa kulikuwa na zoezi la kupiga dawa Dar kwa siku nne...amenyamaza hadi kazi imeisha ndiyo anakuja kusema sasa. Rais una nia gani?

Mpaka sasa hivi upo huko Chato wakati Taifa linakuhitaji sana. Mbona umetelekeza nchi au una nia gani?

Niiliyoyaona AMANA HOSPITAL yanatisha... sishangai wagonjwa kutoroka, wana haki ya kutoroka. Mnawaacha wajifie bila huduma yoyote, na nimeambiwa Mloganzila hali ni hiyo hiyo. Je, mnawatibu vipi?

Kuna sehemu nyingine wagonjwa wamewekwa kwenye sehemu za kuchomea matakataka ya hospitali katika MAZINGIRA YA HOVYO yasiyo rafiki je rais Magufuli unategemea kuwa hao watapona kweli? Siyo tu watapata infection zaidi ila hata ugonjwa walionao utazidi.

Ndiyo, unataka REVENUE lakini Mhe. Rais Magufuli jali maisha ya watanzania usiwe na roho ngumu ya ujeuri kiasi hicho, msiwalundike wagonjwa bila huduma muhimu na mazingira mazuri yenye heshima...HAO NI BINADAMU, NI WATANZANIA, NI WANANCHI WALIPA KODI PIA. Wanahitaji huruma na upendo.

Mbona kuna pesa nyingi zimechangwa kwa ajili ya CORONA yanawasaidiaje hao walengwa au tayari umeshapeleka kwenye miradi?

Magufuli, Lini utaendelea kutojali maisha ya wananchi wa Tanzania
 
tapatalk_1587785776002.jpg


Jr[emoji769]
 
Una haki ya kumlaumu rais

Ila unapaswa kumsaidia kwa jambo moja

1.toa taarifa sahihi sio kusikia, unapofikia hatua ya kulaumu uwe na vithibitisho, utasikia amani hata wewe. Maana aibu zinakuja inapokuwa otherwise

2.Kwa nini lawama umeelekeza kwa rais moja kwa moja?? Sio kwa mkuu wa mkoa? Sio kwa waziri wa afya wala waziri mkuu? .Au ni muda mzuri wa kumwaga nyongo na hasira zingine zooote?

3.Kama bila corona nchi za dunia ya tatu huduma za afya ni mbovu With corona, hali itakuwa mbaya kwa sababu a. Umaskini , b. Short planning c. Kila mhudumu naye anaogopa na anakimbia. I have feeling wewe hapo ungekuwa nesi ungehitaji protective suit. .na ungekataa hii.

Tuko vitani, muda wa kusaidiiana na kuinuana mioyo. Bahati mbaya tuna watoto ambao mmezaliwa kudeka, kulalama, kunyoosha vidole, wajuajia, hamkosei, mko perfect.. hamna hulka ya kuwa tuko vitani na toa suggestion na toa taarifa kwa heshima na sio kuongea 'unajali mapato, una kiburi' hii lugha hata ofisini kwako haikusaidii , you will never be heard mjinga wewe!!!

Hata unaodhania watakusikia au kukuona una akili watakudharau. You will always be coward. Kama unaona unaweza kuandika na kujificha kwa ID mbovu na kuongea mbovu kwa rais haujiamini!

Lengo ni nini? Haupendi uongee kitu usikilizwe?, uheshimike?, na uokoe maisha ya watu kwa kutaka unachosema kifike kwa muhusika ila kwa lugha nzuri, ya heshima, ya kujali na convincing. Mama yako alikuokota wapi?
 
I men kumbusha kikundi flan cha kihuni kilikuwa kinaitwa KABAKAYEKA!
 
Una haki ya kumlaumu rais

Ila unapaswa kumsaidia kwa jambo moja

1.toa taarifa sahihi sio kusikia, unapofikia hatua ya kulaumu uwe na vithibitisho, utasikia amani hata wewe. Maana aibu zinakuja inapokuwa otherwise

2.Kwa nini lawama umeelekeza kwa rais moja kwa moja?? Sio kwa mkuu wa mkoa? Sio kwa waziri wa afya wala waziri mkuu? .Au ni muda mzuri wa kumwaga nyongo na hasira zingine zooote?

3.Kama bila corona nchi za dunia ya tatu huduma za afya ni mbovu With corona, hali itakuwa mbaya kwa sababu a. Umaskini , b. Short planning c. Kila mhudumu naye anaogopa na anakimbia. I have feeling wewe hapo ungekuwa nesi ungehitaji protective suit. .na ungekataa hii


Tuko vitani, muda wa kusaidiiana na kuinuana mioyo. Bahati mbaya tuna watoto wa kiume ambao mmezaliwa na hulka za kishoga, kudeka, kulalama, kunyoosha vidole, wajuajia, hamkosei, mko perfect.. hamna hulka ya kuwa tuko vitani na toa suggestion na toa taarifa kwa heshima na sio kuongea 'unajali mapato, una kiburi' hii lugha hata ofisini kwako haikusaidii , you will never be heard mjinga wewe!!! Hata unaodhania watakusikia au kukuona una akili watakudharau. You will always be coward. Kama unaona unaweza kuandika na kujificha kwa ID mbovu na kuongea mbovu kwa rais haujiamini!


Lengo ni nini? Haupendi uongee kitu usikilizwe?, uheshimike?, na uokoe maisha ya watu kwa kutaka unachosema kifike kwa muhusika ila kwa lugha nzuri, ya heshima, ya kujali na convincing. Mama yako alikuokota wapi?
Yeye anatupa taarifa sahihi?
 
Kwa kua nchi hii ina uhuru wa kuongea basi mnasema mnachojisikia!
Ila itakuwa Magufuli anaongoza kwa kusingiziwa eti? Kila lawama yeye, watu wakichanga fedha kuisaidia kuhudumia wenye matatizo (maana ni wajibu wa serikali) anaambiwa kapeleka kwenye miradi anayoamua hata za rambirambi?

Akigundua tiba ya kujifukiza wataalamu wanampinga. Akienda kukaa nyumbani Chato kutafakari kwa kina matatizo ya nchi wanasema Jenerali kakimbia vita.

Ndio maana anaamua inapobidi kukaa na kuzungumza masuala ya nini kifanyike katika masuala ya TIBA anaamua kuwaita ulinzi na usalama. Halafu kwenye mjadala huo wa tiba IGP na CDF wakisinzia lawama mnampa yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye anatupa taarifa sahihi?

Kwa hiyo unamuiga yeye? Yaani una sound kama.JPM hapendi wananchi?

Utajikuta uko kwako?

Unataka aseme covid cases ziko 10,000..kisha mshangilie na kusema 'tulisema'

Kwa siku Tanzania wanakufa watu 40-104 kwa malaria, kwa siku jumla.ya wanaokufa nchini ni kati ya 500-1200.hawa ni kila siku kabla ya corona

Hawa wanaokufa unajuae ni covid au sio covid bila. Kuwapima? Au covid imefuta magonjwa mengine?

What if mama yako akifa leo kwa ugonjwa tofauti na covid, akatangazwa na mtu mwenye akili kama wewe kuwa anaumwa covid! Hivi huwa mnawazaga haya kabla ya kulaumu na kujifanya heros wa statistics?

Tupambane kupata vifaa vingi vya kupima massive number of people.vifaa ndio vinatengenezwa viwandani navyo...sio rahisi hivyo

Wewe ulijuaje kama mgonjwa wa kwanza aliingilia arusha? Haukutangaziwa?

Did you know
 
Hayo mahela ya michango si angalau yangetumika hata kutununulia barakoa za kitaalamu....Maana hizi zetu za kushona kwa vitambaa na mifuko inasemekana hazisaidii kujikinga .
 
Mimi nauliza tu hiyo revenue anayotaka ni kwa ajiri ya watanzania hao hao wanaokufa kwa corona au ni kwa ajiri ya nani?

Kama uko honest, na unataka kuwa proud kwa wazazi wako na taifa lako

Kama ungekuwa rais, elezea ambavyo ungepandana na covid, kisha jiandae na maswali ya kirafiki.its me and you here
 
Waberoya, Hii comment yako imekuwa na malengo mawili.

1. Kumtisha mtoa hoja. Pale ulipoanza kuongelea ushahidi. Wewe Ndyo ungekuja na ushahidi wa kumprove wrong. Kwanini ubishe usichokijua.

Kila mtu ameona video wagonjwa wanavyofanywa kama ngombe. Unamaana video sio ushahidi?

2. Leo hii hutaki lawama ziende kwa mtukufu, ila sifa zote na utukufu ziende kwake. Rais amekuwa kipaumbele kufungua kila miradi hapa nchini hata tumiradi tudogo kashindwa kuwaachia wa chini yake, ila leo kwenye janga kubwa kaenda mafichoni kawaachia wa chini yake wanafanya juhudi tokana na maelekezo yake ila unataka walaumiwe wao. Oky tuwalaumu wao, sasa uyo Rais asifiwe kwa lipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uko honest, na unataka kuwa proud kwa wazazi wako na taifa lako

Kama ungekuwa rais, elezea ambavyo ungepandana na covid, kisha jiandae na maswali ya kirafiki.its me and you here
Mkuu raslimali ya kwanza ya taifa ni watu, na watu wanaanzia na mtu mmoja. Hiki kitu kinachoitwa uchumi kipo kwa sababu kuna uhai,bila uhai hakuna uchumi Wala kuchapa kazi Wala revenue,hata yeye corona ikimramba Mambo ya kachape kazi au revenue nyingi inatoka Dar yanaishia hapo hapo.

Mimi ningekuwa rais ningeanza kwanza kwa kuokoa uhai kulinda maisha,Sasa unaokoaje au unalindaje uhai wa watu dhidi ya Corona? Wataalamu wanatuambia pamoja na Mambo yote tujiepushe na misongamano, Kama wewe ni mkazi wa Dar utakuwa unaelewa kuwa foleni na misongamano mikubwa ya watu Dar mara nyingi ipo kuanzia Jumatatu hadi ijumaa,most of the time siku za jumamosi na jumapili Dar haina foleni Wala misongamano,siyo Kariakoo Wala mwenge.hii maana yake ni nini?

Maana yake ni kwamba watu wengi wanafanya kazi mjini so jumamosi na jumapili kwa kuwa hawaendi kazini Dar huwa inapumua,So kuwambia watu wakachape kazi, chapeni kazi maana yake unawaambia endeleeni na misongamano mie nachotaka ni Kodi/ revenue hayo mengine hayanihusu.

Lockdown haikuwa na maana kwamba tusifanye kazi, lockdown ilimaanisha kuwa wale wenye uwezo wa kufanyia kazi nyumbani wafanyie home, sasa Kama serikali haijangaza hiyo wewe mwajiriwa wa serikali, mwajiriwa wa muhindi na mwajiriwa wa mswahili unapataje justification ya kufanyia kazi nyumbani hata Kama kazi zako zinaweza kufanyika nyumbaniThird. Nani hajui kuwa usafiri wetu wa umma ni mbaya probably kuliko nchi yoyote duniani? Nani hajui kuwa miji yetu iko shagharabaghara probably kuliko miji yote duniani? Nani hajui nchi yetu ni masikini sana na watanzania ni hohehahe and our thinking capacity ni kiduchu sana?

Je mtu wa mbagala anawezaje kufika Kariakoo bila kujishika usoni? Just use you common sense,Same way wanavyotuchagulia viongozi na kutuambia tuwape ushirikiano otherwise tutakiona mkono huo huo ulipaswa kutumika kutulinda na corona na si kutusukumizia kwenye corona kwa kisingizio cha umasikini wetu.Shame on you and your president
 
Back
Top Bottom