Hayo mahela ya michango si angalau yangetumika hata kutununulia barakoa za kitaalamu....Maana hizi zetu za kushona kwa vitambaa na mifuko inasemekana hazisaidii kujikinga .
Nadhani hajui kweli,huko nyuma aliwahi kusema serikali haipati hasara,meaning kwamba hela ya umma inaweza kutapanywa vyoyote vile na hakuna shida,yaani kwa kifupi ni kuwa tuna rais ambaye hajui kuwa hiyo revenue inazalishwa na hawa wapangazaji wanaoambukizana corona wakati wanawahi makazini kwao au wakati wanarudi majumbani mwaoAnashindwa kujua kuwa;
"Most important thing we can do for the health of our ECONOMY is to protect the health of our PEOPLE”
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ndo shida? So akificha ndo watu hawaambukizwi wala kufa? Naamini haya ni mawazo na ujinga wako.Rais wetu won't have this low level of thinkingKwa hiyo unamuiga yeye? Yaani una sound kama.JPM hapendi wananchi?
Utajikuta uko kwako?
Unataka aseme covid cases ziko 10,000..kisha mshangilie na kusema 'tulisema'
Kwa siku Tanzania wanakufa watu 40-104 kwa malaria, kwa siku jumla.ya wanaokufa nchini ni kati ya 500-1200.hawa ni kila siku kabla ya corona
Hawa wanaokufa unajuae ni covid au sio covid bila. Kuwapima??????? Au covid imefuta magonjwa mengine?
What if mama yako akifa leo kwa ugonjwa tofauti na covid, akatangazwa na mtu mwenye akili kama wewe kuwa anaumwa covid! Hivi huwa mnawazaga haya kabla ya kulaumu na kujifanya heros wa statistics?
Tupambane kupata vifaa vingi vya kupima massive number of people.vifaa ndio vinatengenezwa viwandani navyo...sio rahisi hivyo
Wewe ulijuaje kama mgonjwa wa kwanza aliingilia arusha? Haukutangaziwa?
Did you know
Unamrekebisha mwenzio kwa Lugha chafu na wewe unatoa Lugha chafu zaidi Eeeeeeeeh.
Yawezekana Ndo mana wahenga wakasema samaki mmoja akioza wameoza wote Daaaah. Sijui tuamini tumeoza wote maana Daaah ni sheeder.
Kama wewe unavyopewa airtime kumchafuaNdo wale mnaopewa airtime kwa ajil ya kumsafisha rais 24/7!!! Sawa mkuu tumekuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkemia anawapenda sana wanyonge so kaamua kuzipa uwezo wa kuweza kuzuia virus na kaziponda za nje as if TBS na TFDA wamehama nchiHayo mahela ya michango si angalau yangetumika hata kutununulia barakoa za kitaalamu....Maana hizi zetu za kushona kwa vitambaa na mifuko inasemekana hazisaidii kujikinga .
Naibu waziri wa AfyaMtaalamu gani kampinga JPM tiba ya kufukiza?
Mimi nafikiri wewe ndiyo umekosea zaidi. Ukumbuke jamaa hana platform ya kumfikia mkuu labda kwa njia hii ya maandishi . Na wewe jukwaani hapa umekaa kupinga kila Aina ya mawazo tofauti .Una haki ya kumlaumu rais
Ila unapaswa kumsaidia kwa jambo moja
1.toa taarifa sahihi sio kusikia, unapofikia hatua ya kulaumu uwe na vithibitisho, utasikia amani hata wewe. Maana aibu zinakuja inapokuwa otherwise
2.Kwa nini lawama umeelekeza kwa rais moja kwa moja?? Sio kwa mkuu wa mkoa? Sio kwa waziri wa afya wala waziri mkuu? .Au ni muda mzuri wa kumwaga nyongo na hasira zingine zooote?
3.Kama bila corona nchi za dunia ya tatu huduma za afya ni mbovu With corona, hali itakuwa mbaya kwa sababu a. Umaskini , b. Short planning c. Kila mhudumu naye anaogopa na anakimbia. I have feeling wewe hapo ungekuwa nesi ungehitaji protective suit. .na ungekataa hii
Tuko vitani, muda wa kusaidiiana na kuinuana mioyo. Bahati mbaya tuna watoto wa kiume ambao mmezaliwa na hulka za kishoga, kudeka, kulalama, kunyoosha vidole, wajuajia, hamkosei, mko perfect.. hamna hulka ya kuwa tuko vitani na toa suggestion na toa taarifa kwa heshima na sio kuongea 'unajali mapato, una kiburi' hii lugha hata ofisini kwako haikusaidii , you will never be heard mjinga wewe!!! Hata unaodhania watakusikia au kukuona una akili watakudharau. You will always be coward. Kama unaona unaweza kuandika na kujificha kwa ID mbovu na kuongea mbovu kwa rais haujiamini!
Lengo ni nini? Haupendi uongee kitu usikilizwe?, uheshimike?, na uokoe maisha ya watu kwa kutaka unachosema kifike kwa muhusika ila kwa lugha nzuri, ya heshima, ya kujali na convincing. Mama yako alikuokota wapi?
Mkuu mbona unakuwa mbogo sana kutajwa Magufuli? Wewe ndo magufuli mwenyewe au wewe ni mzalendo sana?unajua kitu kinaitwa PAYEE wewe mzalendo na mtetezi wa rais unalipa nyingi sana eee?Tukiwaita wapumbavu mna kasirika!
Unaposema Rais kawaachia kawaachia kivipi?
Kwamba kina Ummy wanazunguka mitaani na hospital kutibu watu kazi aliyotakiwa kufanya Magufuli au huwa una maana gani hasa unasema kawaachia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una haki ya kumlaumu rais
Ila unapaswa kumsaidia kwa jambo moja
1.toa taarifa sahihi sio kusikia, unapofikia hatua ya kulaumu uwe na vithibitisho, utasikia amani hata wewe. Maana aibu zinakuja inapokuwa otherwise
2.Kwa nini lawama umeelekeza kwa rais moja kwa moja?? Sio kwa mkuu wa mkoa? Sio kwa waziri wa afya wala waziri mkuu? .Au ni muda mzuri wa kumwaga nyongo na hasira zingine zooote?
3.Kama bila corona nchi za dunia ya tatu huduma za afya ni mbovu With corona, hali itakuwa mbaya kwa sababu a. Umaskini , b. Short planning c. Kila mhudumu naye anaogopa na anakimbia. I have feeling wewe hapo ungekuwa nesi ungehitaji protective suit. .na ungekataa hii
Tuko vitani, muda wa kusaidiiana na kuinuana mioyo. Bahati mbaya tuna watoto wa kiume ambao mmezaliwa na hulka za kishoga, kudeka, kulalama, kunyoosha vidole, wajuajia, hamkosei, mko perfect.. hamna hulka ya kuwa tuko vitani na toa suggestion na toa taarifa kwa heshima na sio kuongea 'unajali mapato, una kiburi' hii lugha hata ofisini kwako haikusaidii , you will never be heard mjinga wewe!!! Hata unaodhania watakusikia au kukuona una akili watakudharau. You will always be coward. Kama unaona unaweza kuandika na kujificha kwa ID mbovu na kuongea mbovu kwa rais haujiamini!
Lengo ni nini? Haupendi uongee kitu usikilizwe?, uheshimike?, na uokoe maisha ya watu kwa kutaka unachosema kifike kwa muhusika ila kwa lugha nzuri, ya heshima, ya kujali na convincing. Mama yako alikuokota wapi?
unajua maana ya working from home? au rais hana haki ya kufanya kazi zake akiwa home? Hivi rais nae si mtu, unadhani wewe tuu ndio unaogopa kufa? Acha ubinafsi, fuata maagizo yanayotolewa na wataalamu wa afya kujikinga na hili janga.Mpaka sasa hivi upo huko Chato wakati Taifa linakuhitaji sana...Mbona umetelekeza nchi au una nia gani?
Kwa hiyo unamuiga yeye? Yaani una sound kama.JPM hapendi wananchi?
Utajikuta uko kwako?
Unataka aseme covid cases ziko 10,000..kisha mshangilie na kusema 'tulisema'
Kwa siku Tanzania wanakufa watu 40-104 kwa malaria, kwa siku jumla.ya wanaokufa nchini ni kati ya 500-1200.hawa ni kila siku kabla ya corona
Hawa wanaokufa unajuae ni covid au sio covid bila. Kuwapima??????? Au covid imefuta magonjwa mengine?
What if mama yako akifa leo kwa ugonjwa tofauti na covid, akatangazwa na mtu mwenye akili kama wewe kuwa anaumwa covid! Hivi huwa mnawazaga haya kabla ya kulaumu na kujifanya heros wa statistics?
Tupambane kupata vifaa vingi vya kupima massive number of people.vifaa ndio vinatengenezwa viwandani navyo...sio rahisi hivyo
Wewe ulijuaje kama mgonjwa wa kwanza aliingilia arusha? Haukutangaziwa?
Did you know
Ndyo maana yake. Alitakiwa awe mstari wa mbele sio nyuma akiwasukumiza wenzake.Tukiwaita wapumbavu mna kasirika!