Rais Magufuli, Haya mateso mnayowapa wagonjwa wa CORONA ni sawa na kuwapa hukumu ya kifo!

Rais Magufuli, Haya mateso mnayowapa wagonjwa wa CORONA ni sawa na kuwapa hukumu ya kifo!

Sijijui, Ni wakati mzuri sasa viongozi wetu kutembelea wodi za wagonjwa wa Covid ili kujiridhisha na hali iliyopo kabla ya kutoa maelekezo kwetu wanachi.

Naamini wakifika na kuona itawasaidia kutoa maamuzi ya busara. Kwa hali ilivyo sasa baadhi ya watu wataficha ndugu zao wagonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani
Nataka a feel uhalisia

Na wewe imekuuma? Mnajua wote mazezeta mnaweza post na watu wakakaa kimya

Mkaonekana hero machoni pa vipofu


That is the only issue you have extracted there??
Kumbe ni lazima ni Extract everything from Ur coment?, Umemkataza mwenzio kukojoa hovyo alafu na wewe nawe unamlipizia kwa kunakojoa hovyo kisha unajinasibu kuwa..., U are Smart.......!!!.
Noma sana.
 
[Halafu kwenye mjadala huo wa tiba IGP na CDF wakisinzia lawama mnampa yeye].

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Mapanki mtu akisinzia anamlipua kwa makombora ya kutunga liability ndege.
 
Field marshal1 unalia lia sana....!!!
ulitendei haki jina
Nawatetea wananchi wa Tanzania. Kweli nimekumbuka ule usemi wa kuwa ukimtetea mwafrika hasa mtanzania inabidi utumie mkono mmoja na huo mwingine uwakinge wengine(Watanzania wengine) wasije wakakupiga.Nawasaidia watanzania kujitambua kutoka kwenye mikono ya hilo Dubwana...Mshamba na Limbukeni, lakini watanzania bado uelewa wao una mushkeli.
 
Hayo mahela ya michango si angalau yangetumika hata kutununulia barakoa za kitaalamu....Maana hizi zetu za kushona kwa vitambaa na mifuko inasemekana hazisaidii kujikinga .
Sema na wewe sio kila kitu ulisikia sikia
 
Kafie mbali kwenu huko uchagani, imbecile.
Ha haaa
naona umechukizwa sana na watanzania lia lia.
wengi ni watu wa kulaumu tu, kutoa hukumu kwa habari za kusikia au kuhisi.

Hawatoi suluhisho la tatizo.
 
field marshall1,
Mimi nauliza tu hiyo revenue anayotaka ni kwa ajiri ya watanzania hao hao wanaokufa kwa corona au ni kwa ajiri ya nani?
Tatizo revenue ikusanywe kwa watu kuendelea kuzalisha katika mikusanyiko ya kuambukizana corona, maiti zitajijua huko Amana, Mloganzila, Buswelu na kwingineko. Wakifa watawahishwa fasta kuzikwa na si lazima Ndugu wajue!!!
 
Nadhani hajui kweli,huko nyuma aliwahi kusema serikali haipati hasara,meaning kwamba hela ya umma inaweza kutapanywa vyoyote vile na hakuna shida,yaani kwa kifupi ni kuwa tuna rais ambaye hajui kuwa hiyo revenue inazalishwa na hawa wapangazaji wanaoambukizana corona wakati wanawahi makazini kwao au wakati wanarudi majumbani mwao
Sina hakika Kama tuna kiongozi mwenye 'stable and sound mind!!!'
 
unajua maana ya working from home? au rais hana haki ya kufanya kazi zake akiwa home? Hivi rais nae si mtu, unadhani wewe tuu ndio unaogopa kufa? Acha ubinafsi, fuata maagizo yanayotolewa na wataalamu wa afya kujikinga na hili janga.
Waajiri wa Rais Ni sisi, ofisi tuliyomkabidhi Ni Ikulu ya DSM au Dodoma, Sasa Ni lini alituomba ruhusa sisi Waajiri wake afanye kazi akiwa nyumbani kwake Chato!!!?
 
Mkongwe Mzoefu,
Mtaalamu gani kampinga JPM tiba ya kufukiza?
Nani atampinga wakati wakimpinga hawatakuwa salama
All he cares ni KODI sio UHAI wa Mtanzania
Nani atalipa kodi kama sote tutakuwa wagonjwa kama sio marehemu

Lawama zinamuendea yeye kwa kuwa hawakemei wateule wake
Hao watu wa Mikoa Wilaya Madiwani etc wamejawa na viburi wao wamekuwa madaktari wauguzi polisi etc sasa Mwananchi wa kawaida mtetezi wake ni nani?

Mkuu wa nchi alipashwa kukaa na Wauguzi Madaktari pamoja na vyombo vya Usalama kulizungumzia jambo hili kwa ufasaha busara na hekima kuliko ULE MZAA(Mzaha)

Watawala wakifanya maamuzi kwa KUKOMOA KULIPIZA wakati wa jambo kama hili huku WAKISAHAU HUYU VIRUS HANA UBAGUZI WALA UCHAGUZI utafika wakati hawatapata nafasi ya kutumia hizo kodi wanazodai hawatapata nafasi ya kutubu hawatapata nafasi ya kuona WAJUKUU etc

Tufike mahali tuliangalie Taifa Kwanza na Watu Wake kuchukua maamuzi magumu!
Tumekuwa kituko Mbinguni Duniani na Kuzimu
Tupunguze kusifu na kutukuza hakuna aliye zaidi ya MUUMBA
 
Back
Top Bottom