mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Waberoya, 2.Kwa nini lawama umeelekeza kwa rais moja kwa moja?? Sio kwa mkuu wa mkoa? Sio kwa waziri wa afya wala waziri mkuu? .Au ni muda mzuri wa kumwaga nyongo na hasira zingine zooote?'
Kwanini kila kitu kizuri CCM/Viongozi wake hua utasikia wanamsifia mh. Rais?
Utasikia mh rais ametupa magari 20 ya kupambana na Corona,mh. Rais ametujengea hosp. Ya rufaa,mh. Rais ameajiri ma dr. 1000,mh. Rais ametujengea km 100 za lami etc
Lkn mambo yakiwa mabaya utasikia mh. Rais watendaji wake wanamuangusha,mh.Rais anashauriwa vibaya na watendaji wake,utasikia ooh kwanini lawama zimeelekezwa kwa mh. Rais
Kama mnavyopenda kusifiwa sifiwa na mpende hivyo hivyo kulaumiwa.