Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,620
- 10,261
Unavyomwambia atoe taarifa sahihi serekali wenyewe hawana taarifa sahii, rais ana takwimu zake, ummy mwalimu ana takwimu zake, na makonda ana takwimu zakeUna haki ya kumlaumu rais
Ila unapaswa kumsaidia kwa jambo moja
1.toa taarifa sahihi sio kusikia, unapofikia hatua ya kulaumu uwe na vithibitisho, utasikia amani hata wewe. Maana aibu zinakuja inapokuwa otherwise
2.Kwa nini lawama umeelekeza kwa rais moja kwa moja?? Sio kwa mkuu wa mkoa? Sio kwa waziri wa afya wala waziri mkuu? .Au ni muda mzuri wa kumwaga nyongo na hasira zingine zooote?
3.Kama bila corona nchi za dunia ya tatu huduma za afya ni mbovu With corona, hali itakuwa mbaya kwa sababu a. Umaskini , b. Short planning c. Kila mhudumu naye anaogopa na anakimbia. I have feeling wewe hapo ungekuwa nesi ungehitaji protective suit. .na ungekataa hii
Tuko vitani, muda wa kusaidiiana na kuinuana mioyo. Bahati mbaya tuna watoto wa kiume ambao mmezaliwa na hulka za kishoga, kudeka, kulalama, kunyoosha vidole, wajuajia, hamkosei, mko perfect.. hamna hulka ya kuwa tuko vitani na toa suggestion na toa taarifa kwa heshima na sio kuongea 'unajali mapato, una kiburi' hii lugha hata ofisini kwako haikusaidii , you will never be heard mjinga wewe!!! Hata unaodhania watakusikia au kukuona una akili watakudharau. You will always be coward. Kama unaona unaweza kuandika na kujificha kwa ID mbovu na kuongea mbovu kwa rais haujiamini!
Lengo ni nini? Haupendi uongee kitu usikilizwe?, uheshimike?, na uokoe maisha ya watu kwa kutaka unachosema kifike kwa muhusika ila kwa lugha nzuri, ya heshima, ya kujali na convincing. Mama yako alikuokota wapi?
Unavyosema asilaumiwe rais kwanini kwenye mazuri anataka kupewa sifa yeye, lakin sio kwenye mabaya, rais ameonyesha udhaifu mkubwa kwenye corona ilo liko wazi