Rais Magufuli, Haya mateso mnayowapa wagonjwa wa CORONA ni sawa na kuwapa hukumu ya kifo!

Rais Magufuli, Haya mateso mnayowapa wagonjwa wa CORONA ni sawa na kuwapa hukumu ya kifo!

Cc mshana jr
IMG_20200424_211128.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa nchi hii ina uhuru wa kuongea basi mnasema mnachojisikia!
Uhuru wa kuongea usitumiwe vibaya kiasi cha kuwaletea watu wengine hofu na mkanganyiko. Hakuna haja ya kupotosha habari kama kuweka video za uongo ati wagonjwa wa Covid-19 wanabeba maiti. Au wagonjwa wanatoroka.
 
Odhiambo cairo,
Jaduong, kupishana kauli juu ya wagonjwa waliopona au vifo ni jambo la kawaida hasa panapokuwa na mlipuko wa gonjwa kama hili. Inawezekana waziri wa afya alikuwa anasubiri ambao wamepona watimizize siku zinazotakiwa kuwa kwenye uangalizi. Ili baadae aje atoe takwimu zake. Mkuu nae akawa anazo taarifa kuwa kuna watu wamepona ila bado hawajatangazwa.Lakini hii sio sababu ya kuleta lawama kwa serikali.

Jambo baya ni hawa watu wanaotoa taarifa za kupotosha kuwa watu wanakufa, watu wanatelekezwa na hii sio nzuri hata kama una chuki na CCM.
 
Mtu anatoa ushauri ambao alipaswa amwambie mkewe na watoto wake.Mambo ya kishirikina Nani anataka ?
 
Una haki ya kumlaumu rais

Ila unapaswa kumsaidia kwa jambo moja

1.toa taarifa sahihi sio kusikia, unapofikia hatua ya kulaumu uwe na vithibitisho, utasikia amani hata wewe. Maana aibu zinakuja inapokuwa otherwise

2.Kwa nini lawama umeelekeza kwa rais moja kwa moja?? Sio kwa mkuu wa mkoa? Sio kwa waziri wa afya wala waziri mkuu? .Au ni muda mzuri wa kumwaga nyongo na hasira zingine zooote?

3.Kama bila corona nchi za dunia ya tatu huduma za afya ni mbovu With corona, hali itakuwa mbaya kwa sababu a. Umaskini , b. Short planning c. Kila mhudumu naye anaogopa na anakimbia. I have feeling wewe hapo ungekuwa nesi ungehitaji protective suit. .na ungekataa hii.

Tuko vitani, muda wa kusaidiiana na kuinuana mioyo. Bahati mbaya tuna watoto ambao mmezaliwa kudeka, kulalama, kunyoosha vidole, wajuajia, hamkosei, mko perfect.. hamna hulka ya kuwa tuko vitani na toa suggestion na toa taarifa kwa heshima na sio kuongea 'unajali mapato, una kiburi' hii lugha hata ofisini kwako haikusaidii , you will never be heard mjinga wewe!!!

Hata unaodhania watakusikia au kukuona una akili watakudharau. You will always be coward. Kama unaona unaweza kuandika na kujificha kwa ID mbovu na kuongea mbovu kwa rais haujiamini!

Lengo ni nini? Haupendi uongee kitu usikilizwe?, uheshimike?, na uokoe maisha ya watu kwa kutaka unachosema kifike kwa muhusika ila kwa lugha nzuri, ya heshima, ya kujali na convincing. Mama yako alikuokota wapi?
Hiki kizazi ndo kinaitesa Africa mkuu...yaan jitu la ivo kaangalie maisha yake yenyewe n shida Kaz kusema watu na rais
Hajui kutimiz wajibu
Hana anachoshaur ila kulaumu
Hana anachokijua na kufundisha ila matusi

Kazi kuwatia watu sumu .....
Sijui alitaka magufur afanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo mengi hayaeleweki kwenye utawala huu, Kuanzia kauli za kupingana za Makonda, kauli zisizoeleweka za waziri Ummy Mwalimu, Kauli tofauti (mabishano) kati ya Makonda VS Magufuli kuhusu kupiga dawa katika jiji la Dar Es Salaam, idadi ya wagonjwa waliopata nafuu au kupona tofauti kati ya Ummy Mwalimu VS Magufuli, Tofauti ya jinsi ya kutibu ugonjwa kati ya Magufuli VS Dr. Ndugulile (Huyo Magufuli anasema tujifukize wakati Ndugulile anasema hapana).

Kwa hali tuliyofikia siyo nzuri, Rais aliona kabisa kuwa kulikuwa na zoezi la kupiga dawa Dar kwa siku nne...amenyamaza hadi kazi imeisha ndiyo anakuja kusema sasa. Rais una nia gani?

Mpaka sasa hivi upo huko Chato wakati Taifa linakuhitaji sana. Mbona umetelekeza nchi au una nia gani?

Niiliyoyaona AMANA HOSPITAL yanatisha... sishangai wagonjwa kutoroka, wana haki ya kutoroka. Mnawaacha wajifie bila huduma yoyote, na nimeambiwa Mloganzila hali ni hiyo hiyo. Je, mnawatibu vipi?

Kuna sehemu nyingine wagonjwa wamewekwa kwenye sehemu za kuchomea matakataka ya hospitali katika MAZINGIRA YA HOVYO yasiyo rafiki je rais Magufuli unategemea kuwa hao watapona kweli? Siyo tu watapata infection zaidi ila hata ugonjwa walionao utazidi.

Ndiyo, unataka REVENUE lakini Mhe. Rais Magufuli jali maisha ya watanzania usiwe na roho ngumu ya ujeuri kiasi hicho, msiwalundike wagonjwa bila huduma muhimu na mazingira mazuri yenye heshima...HAO NI BINADAMU, NI WATANZANIA, NI WANANCHI WALIPA KODI PIA. Wanahitaji huruma na upendo.

Mbona kuna pesa nyingi zimechangwa kwa ajili ya CORONA yanawasaidiaje hao walengwa au tayari umeshapeleka kwenye miradi?

Magufuli, Lini utaendelea kutojali maisha ya wananchi wa Tanzania
Ni utawala upi kwako unaeleweka
??
Wewe umefanya nn?
Ulitaka rais afanyaje awe nesi aje kukutibu??
Mbona unaongea unproffessional
Kama unaakili ilitakiwa uishaur serikali
Usaidie wananchi kwa nafas yako
Uache kueneza sumu wakat huna Cha kusaidia Wala kushauri



Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Onyo.
Kama una kisukari, ukimwi, magonjwa ya moyo, matatizo ya figo, vidonda vya tumbo, unavuta sigara, umri wako ni 50+, pumu, uti sugu ya kujirudiarudia, std sugu za kujirudiarudia na maralia sugu ya kujirudiarudia tafadhali kaa ndani. Pia kumbuka kusali toba, kunywa tangawizi ya moto asubuhi na jioni, kama unazo mali andika wosia kabisa na lala vya kutosha.*

Nimefowadi
 
Ila Watanzania sisi kwa Uongo na Uzushi Hatujambo... jamaa yangu wa karibu yupo Amana, maelezo yake ni tofauti sana na Uzushi niliosoma kwenye huu Uzi. Tubadilike ndugu zangu tumewkuwa watu wa kulalalmika tuuuu vitu ambavyo Hatujavitafiti, kwa taarifa yenu pale Amana watu wako poa sana jionee na ka Birthday ka jioni ya leo pale pale Amana watu wakiwa FULL HAPPY endeleeni kulishana sumu za kijinga humu JF ...over...
 

Attachments

  • VID-20200426-WA0081.mp4
    13.8 MB
Mambo mengi hayaeleweki kwenye utawala huu, Kuanzia kauli za kupingana za Makonda, kauli zisizoeleweka za waziri Ummy Mwalimu, Kauli tofauti (mabishano) kati ya Makonda VS Magufuli kuhusu kupiga dawa katika jiji la Dar Es Salaam, idadi ya wagonjwa waliopata nafuu au kupona tofauti kati ya Ummy Mwalimu VS Magufuli, Tofauti ya jinsi ya kutibu ugonjwa kati ya Magufuli VS Dr. Ndugulile (Huyo Magufuli anasema tujifukize wakati Ndugulile anasema hapana).

Kwa hali tuliyofikia siyo nzuri, Rais aliona kabisa kuwa kulikuwa na zoezi la kupiga dawa Dar kwa siku nne...amenyamaza hadi kazi imeisha ndiyo anakuja kusema sasa. Rais una nia gani?

Mpaka sasa hivi upo huko Chato wakati Taifa linakuhitaji sana. Mbona umetelekeza nchi au una nia gani?

Niiliyoyaona AMANA HOSPITAL yanatisha... sishangai wagonjwa kutoroka, wana haki ya kutoroka. Mnawaacha wajifie bila huduma yoyote, na nimeambiwa Mloganzila hali ni hiyo hiyo. Je, mnawatibu vipi?

Kuna sehemu nyingine wagonjwa wamewekwa kwenye sehemu za kuchomea matakataka ya hospitali katika MAZINGIRA YA HOVYO yasiyo rafiki je rais Magufuli unategemea kuwa hao watapona kweli? Siyo tu watapata infection zaidi ila hata ugonjwa walionao utazidi.

Ndiyo, unataka REVENUE lakini Mhe. Rais Magufuli jali maisha ya watanzania usiwe na roho ngumu ya ujeuri kiasi hicho, msiwalundike wagonjwa bila huduma muhimu na mazingira mazuri yenye heshima...HAO NI BINADAMU, NI WATANZANIA, NI WANANCHI WALIPA KODI PIA. Wanahitaji huruma na upendo.

Mbona kuna pesa nyingi zimechangwa kwa ajili ya CORONA yanawasaidiaje hao walengwa au tayari umeshapeleka kwenye miradi?

Magufuli, Lini utaendelea kutojali maisha ya wananchi wa Tanzania
Amana Hospital wanakula cake tu acha uongo wewe mwanasaccos ya Chadema kawadanganye wanasaccos wenzio siyo sisi tunaojitambua! Hujaiona video clip nikurushie?
 
Ila Watanzania sisi kwa Uongo na Uzushi Hatujambo... jamaa yangu wa karibu yupo Amana, maelezo yake ni tofauti sana na Uzushi niliosoma kwenye huu Uzi. Tubadilike ndugu zangu tumewkuwa watu wa kulalalmika tuuuu vitu ambavyo Hatujavitafiti, kwa taarifa yenu pale Amana watu wako poa sana jionee na ka Birthday ka jioni ya leo pale pale Amana watu wakiwa FULL HAPPY endeleeni kulishana sumu za kijinga humu JF ...over...
Mkuu achana na hawa wanasaccos ya Chadema ni waongo ile mbaya watz wameshawashitukia muda mrefu na dawa yao ni October 2020!
 
Kwa hio unadhani serikali imekuw serious kuhusu korona na imechukua hatua stahiki?
Waberoya,
Wasikusumbue hao! Amiri wa vita kaingia mitini umesikia wapi hiyo? Eti yuko likizo, mbona wamewaita madaktari walio likizo warudi, kwa nini na yeye asirudi yuko kwake kaji isolate anatuwachia sisi tufe tumkusanyie kodi!
 
Ila Watanzania sisi kwa Uongo na Uzushi Hatujambo... jamaa yangu wa karibu yupo Amana, maelezo yake ni tofauti sana na Uzushi niliosoma kwenye huu Uzi. Tubadilike ndugu zangu tumewkuwa watu wa kulalalmika tuuuu vitu ambavyo Hatujavitafiti, kwa taarifa yenu pale Amana watu wako poa sana jionee na ka Birthday ka jioni ya leo pale pale Amana watu wakiwa FULL HAPPY endeleeni kulishana sumu za kijinga humu JF ...over...
Mkuu tunavyo aminishwa ni tofauti kabisa.
Kumbuka kauli ya Ummy Mwalimu kwamba tumeamua tuseme ukweli. Je, NI ukweli gani? Kwani ilikuwa ni Mara ya kwanza kuzungumzia korona?
Pia Kuna mfanyabiashara na tajiri maarufu wa mji wa mbinga aliumwa na akakimbizwa peramiho Hospital na alipopimwa joto kila muuguzi na daktari walitoroka wakihofia usalama kwani hawana vifaa vya kujikinga jamaa huyo hadi anakata roho akiwa na mke wake hakuna aliyesogea bado tuseme wagojwa na wauguzi wako salama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom