Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,437
Uhuru wa kuongea usitumiwe vibaya kiasi cha kuwaletea watu wengine hofu na mkanganyiko. Hakuna haja ya kupotosha habari kama kuweka video za uongo ati wagonjwa wa Covid-19 wanabeba maiti. Au wagonjwa wanatoroka.Kwakuwa nchi hii ina uhuru wa kuongea basi mnasema mnachojisikia!
Wagonjwa wametoroka, wamepanda mabasi.Unabisha, wewe unakaa wapi? Siyo lazima watoroke wote hata 10 wakitoroka ni wengi. Mkuu wa wilaya amekiri ingawa anasema walitaka kutoroka na kufanya fujo.Mkuu Hakuna mtu aliyetoroka amana. Sasa wewe uzi wako huwa unaandikia ukiwa wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
field marshall1,
Mimi nauliza tu hiyo revenue anayotaka ni kwa ajiri ya watanzania hao hao wanaokufa kwa corona au ni kwa ajiri ya nani?
Wamechanganyikiwa!Uhuru wa kuongea usitumiwe vibaya kiasi cha kuwaletea watu wengine hofu na mkanganyiko. Hakuna haja ya kupotosha habari kama kuweka video za uongo ati wagonjwa wa Covid-19 wanabeba maiti. Au wagonjwa wanatoroka.
Hiki kizazi ndo kinaitesa Africa mkuu...yaan jitu la ivo kaangalie maisha yake yenyewe n shida Kaz kusema watu na raisUna haki ya kumlaumu rais
Ila unapaswa kumsaidia kwa jambo moja
1.toa taarifa sahihi sio kusikia, unapofikia hatua ya kulaumu uwe na vithibitisho, utasikia amani hata wewe. Maana aibu zinakuja inapokuwa otherwise
2.Kwa nini lawama umeelekeza kwa rais moja kwa moja?? Sio kwa mkuu wa mkoa? Sio kwa waziri wa afya wala waziri mkuu? .Au ni muda mzuri wa kumwaga nyongo na hasira zingine zooote?
3.Kama bila corona nchi za dunia ya tatu huduma za afya ni mbovu With corona, hali itakuwa mbaya kwa sababu a. Umaskini , b. Short planning c. Kila mhudumu naye anaogopa na anakimbia. I have feeling wewe hapo ungekuwa nesi ungehitaji protective suit. .na ungekataa hii.
Tuko vitani, muda wa kusaidiiana na kuinuana mioyo. Bahati mbaya tuna watoto ambao mmezaliwa kudeka, kulalama, kunyoosha vidole, wajuajia, hamkosei, mko perfect.. hamna hulka ya kuwa tuko vitani na toa suggestion na toa taarifa kwa heshima na sio kuongea 'unajali mapato, una kiburi' hii lugha hata ofisini kwako haikusaidii , you will never be heard mjinga wewe!!!
Hata unaodhania watakusikia au kukuona una akili watakudharau. You will always be coward. Kama unaona unaweza kuandika na kujificha kwa ID mbovu na kuongea mbovu kwa rais haujiamini!
Lengo ni nini? Haupendi uongee kitu usikilizwe?, uheshimike?, na uokoe maisha ya watu kwa kutaka unachosema kifike kwa muhusika ila kwa lugha nzuri, ya heshima, ya kujali na convincing. Mama yako alikuokota wapi?
Ni utawala upi kwako unaelewekaMambo mengi hayaeleweki kwenye utawala huu, Kuanzia kauli za kupingana za Makonda, kauli zisizoeleweka za waziri Ummy Mwalimu, Kauli tofauti (mabishano) kati ya Makonda VS Magufuli kuhusu kupiga dawa katika jiji la Dar Es Salaam, idadi ya wagonjwa waliopata nafuu au kupona tofauti kati ya Ummy Mwalimu VS Magufuli, Tofauti ya jinsi ya kutibu ugonjwa kati ya Magufuli VS Dr. Ndugulile (Huyo Magufuli anasema tujifukize wakati Ndugulile anasema hapana).
Kwa hali tuliyofikia siyo nzuri, Rais aliona kabisa kuwa kulikuwa na zoezi la kupiga dawa Dar kwa siku nne...amenyamaza hadi kazi imeisha ndiyo anakuja kusema sasa. Rais una nia gani?
Mpaka sasa hivi upo huko Chato wakati Taifa linakuhitaji sana. Mbona umetelekeza nchi au una nia gani?
Niiliyoyaona AMANA HOSPITAL yanatisha... sishangai wagonjwa kutoroka, wana haki ya kutoroka. Mnawaacha wajifie bila huduma yoyote, na nimeambiwa Mloganzila hali ni hiyo hiyo. Je, mnawatibu vipi?
Kuna sehemu nyingine wagonjwa wamewekwa kwenye sehemu za kuchomea matakataka ya hospitali katika MAZINGIRA YA HOVYO yasiyo rafiki je rais Magufuli unategemea kuwa hao watapona kweli? Siyo tu watapata infection zaidi ila hata ugonjwa walionao utazidi.
Ndiyo, unataka REVENUE lakini Mhe. Rais Magufuli jali maisha ya watanzania usiwe na roho ngumu ya ujeuri kiasi hicho, msiwalundike wagonjwa bila huduma muhimu na mazingira mazuri yenye heshima...HAO NI BINADAMU, NI WATANZANIA, NI WANANCHI WALIPA KODI PIA. Wanahitaji huruma na upendo.
Mbona kuna pesa nyingi zimechangwa kwa ajili ya CORONA yanawasaidiaje hao walengwa au tayari umeshapeleka kwenye miradi?
Magufuli, Lini utaendelea kutojali maisha ya wananchi wa Tanzania
Wewe unayetetea unaona?Kusikia, kusikia, kusikia, kuona utaoa lini?
Amana Hospital wanakula cake tu acha uongo wewe mwanasaccos ya Chadema kawadanganye wanasaccos wenzio siyo sisi tunaojitambua! Hujaiona video clip nikurushie?Mambo mengi hayaeleweki kwenye utawala huu, Kuanzia kauli za kupingana za Makonda, kauli zisizoeleweka za waziri Ummy Mwalimu, Kauli tofauti (mabishano) kati ya Makonda VS Magufuli kuhusu kupiga dawa katika jiji la Dar Es Salaam, idadi ya wagonjwa waliopata nafuu au kupona tofauti kati ya Ummy Mwalimu VS Magufuli, Tofauti ya jinsi ya kutibu ugonjwa kati ya Magufuli VS Dr. Ndugulile (Huyo Magufuli anasema tujifukize wakati Ndugulile anasema hapana).
Kwa hali tuliyofikia siyo nzuri, Rais aliona kabisa kuwa kulikuwa na zoezi la kupiga dawa Dar kwa siku nne...amenyamaza hadi kazi imeisha ndiyo anakuja kusema sasa. Rais una nia gani?
Mpaka sasa hivi upo huko Chato wakati Taifa linakuhitaji sana. Mbona umetelekeza nchi au una nia gani?
Niiliyoyaona AMANA HOSPITAL yanatisha... sishangai wagonjwa kutoroka, wana haki ya kutoroka. Mnawaacha wajifie bila huduma yoyote, na nimeambiwa Mloganzila hali ni hiyo hiyo. Je, mnawatibu vipi?
Kuna sehemu nyingine wagonjwa wamewekwa kwenye sehemu za kuchomea matakataka ya hospitali katika MAZINGIRA YA HOVYO yasiyo rafiki je rais Magufuli unategemea kuwa hao watapona kweli? Siyo tu watapata infection zaidi ila hata ugonjwa walionao utazidi.
Ndiyo, unataka REVENUE lakini Mhe. Rais Magufuli jali maisha ya watanzania usiwe na roho ngumu ya ujeuri kiasi hicho, msiwalundike wagonjwa bila huduma muhimu na mazingira mazuri yenye heshima...HAO NI BINADAMU, NI WATANZANIA, NI WANANCHI WALIPA KODI PIA. Wanahitaji huruma na upendo.
Mbona kuna pesa nyingi zimechangwa kwa ajili ya CORONA yanawasaidiaje hao walengwa au tayari umeshapeleka kwenye miradi?
Magufuli, Lini utaendelea kutojali maisha ya wananchi wa Tanzania
Mkuu achana na hawa wanasaccos ya Chadema ni waongo ile mbaya watz wameshawashitukia muda mrefu na dawa yao ni October 2020!Ila Watanzania sisi kwa Uongo na Uzushi Hatujambo... jamaa yangu wa karibu yupo Amana, maelezo yake ni tofauti sana na Uzushi niliosoma kwenye huu Uzi. Tubadilike ndugu zangu tumewkuwa watu wa kulalalmika tuuuu vitu ambavyo Hatujavitafiti, kwa taarifa yenu pale Amana watu wako poa sana jionee na ka Birthday ka jioni ya leo pale pale Amana watu wakiwa FULL HAPPY endeleeni kulishana sumu za kijinga humu JF ...over...
Wasikusumbue hao! Amiri wa vita kaingia mitini umesikia wapi hiyo? Eti yuko likizo, mbona wamewaita madaktari walio likizo warudi, kwa nini na yeye asirudi yuko kwake kaji isolate anatuwachia sisi tufe tumkusanyie kodi!Kwa hio unadhani serikali imekuw serious kuhusu korona na imechukua hatua stahiki?
Waberoya,
Mkuu tunavyo aminishwa ni tofauti kabisa.Ila Watanzania sisi kwa Uongo na Uzushi Hatujambo... jamaa yangu wa karibu yupo Amana, maelezo yake ni tofauti sana na Uzushi niliosoma kwenye huu Uzi. Tubadilike ndugu zangu tumewkuwa watu wa kulalalmika tuuuu vitu ambavyo Hatujavitafiti, kwa taarifa yenu pale Amana watu wako poa sana jionee na ka Birthday ka jioni ya leo pale pale Amana watu wakiwa FULL HAPPY endeleeni kulishana sumu za kijinga humu JF ...over...