Rais Magufuli, hili la Kangi Lugola hujatenda haki. Sheria ya Uhujumu Uchumi inawahusu wananchi tu?


Kuna Maswali mengi sana nyuma ya Pazia.

Naomba kusema wazi ; Mimi ni miongoni mwa Muumini wa Juhudi za Maguful; kiukweli anajitahidi Kwenye baadhi ya mambo.

Lakini namna ya Uongozi wa Magufuli mpaka leo nimeshindwa ku define leadership style ya Gufuli.

1 Anatuelezea sana matatizo badala ya kutupa majibu na solution.
2. Katika tumbua tumbua zake; hakuna hata mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kisheria hata upige Billions of Money
3 .Nyuma ya ishu ya Kangi kuna maswali mengi kuliko majibu.

The whole thing ya Kangi Lugola won’t make any sense until he has brought forth to the law.

Otherwise this is another Customer Retention. Yaani you treat Diabetes you end up in BP; now you will have to deal with Diabetes and BP —Business as Usual
 
Teuzi na Gufuli hazina vetting. Huyu Lugola alikuwa na kesi PCCB. Halafu huko alikuwa kwenye kamati ya LAAC alikuwa mtu wa bahasha kishenzi.

Anayesema Gufuli anachukia wala rushwa hajielewi
 
Nauliza ivi Magufuli anapambana na ufisadi au anawalea mafisadi? Ivi kuna mtu anaweza kuwa fisadi nje ya mfumo wa ccm na serikali yake?

Ile mahakama ilifunguliwa kuwafunga kina nani?

Lugola alishakamatwa na Rushwa tukashangaa kupeaa uwaziri kaenda kusaini mkataba wa matrilioni nashangaa anayejiita mtumbua chunusi hata kusema ashitakiwe kwa kutaka kuliingizia taifa hasara na katibu wake anapewa ubalozi.

Najiuliza lengo la magufuli kumpa ubalozi ili iweje? Kwann wasishitakiwe kwa makosa ya uhujumu uchumi.

Kabendera kadaiwa kutakatisha milioni 173 yuko jela hawa ma matrilioni wanapewa ubalozi.

Huyu ni mpenzi wa mungu yupi anayesema ukweli?
 
Wasalam, kuna taarifa kwamba imeundwa tume kuchunguza mkataba wa mamilion aliosaini mh lungola kwa niaba ya jeshi LA zimamoto na km itathibitika mkataba ni wakifasadi basi bwana lugola kangi atashitakiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi ambayo hayana dhamana hivyo kuna uwezekano akaungana na ndugu Eriki kabendera kule segerea.

Muda ni rafiki mwema tuvute subra tuone km tetesi za taarifa hii zitatokea sio mbali ni karibu sana.
 
Kama uliskiliza vizuri utagundua pale mwenye kosa kuu ni Kamishna wa zimamoto! Katibu na Lugola ni issue ya uwajibikaji, na Katibu alisifiwa kwa sababu alijiuzulu/aliwajibika bila shurti!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo ujue Mkuu Return Of Undertaker kuwa ile ilikuwa bonge la movie.......

Main character wa picha hiyo alikuwa Jiwe mwenyewe
 
Katibu hakuhusika amewajibika kwa sababu tukio limetokea wizarani kwake......uwe unaelewa bwashee!
 
Mbwiga usiwe zaidi ya Pimbi.....alliyesafiri kwenda kusaini ni Kamishna mkuu wa Zimamoto.

Mods toa huu uchafu mleta mada amekurupuka hana facts!


Huyo jamaa keshavimbewa mbege na damu ya mbuzi hivyo hawezi kukuelewa, ana IQ ndogo sana kama mbuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…