Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koote ulikua unazungu,hiki ndio ulitaka kukiletaKabendera kadaiwa kutakatisha milioni 173 yuko jela hawa ma matrilioni wanapewa ubalozi.
Ingekuwa busara ungesikiliza ili ujue cha kuandika. Alikwenda kusain ni Kamishna na sio Katibu mkuu.Pumbavuu kabisa aliyesemwa kasafiri kwenda kusaini ni nani?
Kwani ilikuwaje akatenguliwa mamii?Akitoka lugola utafata ww kwa kuleta habari zisizo na uhakika humu
yess BiShoo haswaaAaa
Unaona huu mwandiko nloutumia apo ni wa kike mpaka uniite mamii au unataka vita mzee...?
Kweli aisee,yaani major general umpe kesi ya uhujumu uchumi hiiiiiiiiiiiiii patachimbika.
dodge
Una maana kubwa lao hahahaa, mpaka katiba ibadilishweMkataba unaostahili kuwapeleka watu uhujumu uchumi ni ule aliosaini Kabudi akishuhudiwa na mzee baba.
Kama tutaundiwa Tume huru ya uchaguzi na Octoba tukampata rais wa chaguo la wengi basi inshallah, panapo majaliwa 2021 hawa wahujumu wa uchumi wetu kupitia Barrick tutakuwa tunaenda kuwasalimia jumamosi Segerea
ExactlyKwa hyo kwenye kampeni Lugola atakuwa wa Demo. Tumeanzisha mahakama ya mafisadi na tumeanza kuwanyosha na hadi mawaziri tunawashtaki mfano waziri wa zamani wa mambo ya ndani Kangi Lugora.
“Kuwajibika au kujitathmini” ni maneno ya kisiasa yanayotumika vibaya kipropaganda ili kukwepa sheria.
Swala la hawa jamaa ilikuwa ni uvunjaji wa taratibu za kisheria na wanaweza kushitakiwa au kwa matumizi mabaya ya madaraka au kwa kukiuka taratibu!
Tabia hii ya kutoshitaki na kuadhibu watu itatufikisha pabaya. Ndio tofauti yetu moja na mabeberu!! Wanaadhibiana, sisi tunaoneana aibu/haya!!
Impunity - letting crimes go unpunished!!