Rais Magufuli huhitaji kujieleza unapomtoa Waziri. Kwa January Makamba jikalie kimya

Ila sio fair kabisa ,jamaa ana character zote za mwalimu wa vidudu
 
Huyo makamba anayemtetea hatujawahi kumsikia hata siku moja angalao kulaani tu kitendo cha Lissu kupigwa risasi sasa ndiyo amekuwa wa maana

Kwenye hili la Makamba kutolewa ni kwa ajili ya ule waraka, hizo nyingine ni sababu za kulazimisha. Ila mtu kama Makamba sio wa kutetea kwani ni mtu anayekalia kimya uovu ili kulinda madaraka yake. Kilichomkuta Makamba ni vita dhidi ya shetani aliye madarakani dhidi ya genge la maibilisi walio nje ya madaraka. Hapo Zitto anamtetea tu mshikaji wake lakini Makamba ni useless kwa upinzani.
 
Truth be said January was a megalomaniac who took environment issues so serious that he became an obstacle in some areas of development.

Inawezekana talents zake zingefaa wizara nyingine lakini hapo kwenye mazingira alihitajika mtu ambae yupo flexible na mwenye mtazamo mpana wa kitaifa zaidi ya kila kitu kujifanya anataka kuona environmental analysis kwanza.

Hata hizo credit mnazompa za process alizozifuata baada ya ku postpone ban ya kwanza kaziokota humu humu JF.
 
Tunachozungumza hapa Zitto kama mpinzani aliwahi kumuona makamba anapinga kutekwa wananchi, kulaani kitendo cha kupigwa risasi Lissu, kulaani mateso kwa wapinzani, n.k. mbona yeye anajifanya kimbelembele kuwatetea maccm

Nimekuelewa mkuu
 
mh Zitto, January kaondolewa ili kumkomoa baba yake, mzee Yusuph.
kweli jiwe hapendi mazingira, ndo maana kaamua kuharibu uoto wa asili selou game reservre kwa kilomita mia tatu za mraba na kufanya bwawa la maji,, lakini pia ETI MTU AJENGE KIWANDA NDIO AOMBE KIBALI, najua anachotaka yeye ni kuzindua hata kama hakitafanya kazi, mradi tu azindue, , ugonjwa wa "media-phobia" yeye tu ndio ae mubashara kenye TBC ambayo Ryoba ameiua kabisa.

Mtu amejenga kiwanda cha kuchenjua maiti eneo la kariakoo, sokoni, alafu baadae umwambie aombe kibali., inaingia akilini kweli, yaani haya kimeharibu afya, watu wamepata kansa, likiwanda lishazinguliwa the EIA wakasema kiondolewe, kwanza huyo afisa na timu yake na mkurugenzi wote wanatumbuliwa, sasa hivi kila mtu anafanya kazi kwa hofu kumfurahisha mfalme, nakwambieni tuendelee kumuomba Mungu amlete kiongozi wetu
 
Dah aisee sishangai haya maana sio mara ya kwanza Magufuli kusema uongo ....Alishasema alikuta sukari kilo ni 5000 wakati yeye ndiye aliyesababisha sukari kupanda bei.
ushawahi kumwamini Jiwe, u esahau ule ujinga wa dhahabu za mwanza na wale askari?
 
Kwa hiyo wewe ndio mpanga mipango ya selikali?

Mbona mnatia aibu sana? Alafu kwanini Zitto kachukia sana kuondoka kwa Makamba?
 
Membe baki CCM.
January baki CCM.
Nape baki CCM.
Kinana baki CCM.
Makamba Sr baki CCM.

Mkiwa na vinyongo vyenu endeleeni kubaki huko huko mkichochea kuni mpaka 2020.

LISSU rudi haraka Tanzania wakati ni huu, Mbowe kaa chini na ACT mkubaliane pamoja na Seif na akina Jussa na wazanzibar wote, bara asimame LISSU na visiwani kama kawa Maalim na ACT.. CCM kwa hali waliyonayo kuni zikichochewa wanaanguka mapema sana 2020..
 
Uongo ni upi na ukweli ni upi?
 
Kwa hiyo wewe ndio mpanga mipango ya selikali?

Mbona mnatia aibu sana? Alafu kwanini Zitto kachukia sana kuondoka kwa Makamba?
Lioneni hili nalo! Kanywe supu kwanza uondoe hangover ndio utaelewa.
 
Tatizo huyo mkubwa mwenyewe unayemtetea hana staha,anadanganyaje vijana mchana kweupe?aseme ukweli isitoshe hata angekaa kimya hakuna ambaye angemuuliza kuliko kuelezea sababu ambazo ni mwendawazimu pekee ndiye atakubaliana nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…