mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,026
- 1,749
Miaka 60 ya serikali za CCM hayo ndio maisha na mazingira halisi ya watanzania walio wengi waishio vijijini na mijini! Nyumba duni, mavazi duni, milipuko ya magonjwa nayo haijambo! Alafu mtu bado anakuja anakwambia nichagueni ndani ya miaka 5 nitabadilisha Tanzania kuwa kama Ulaya! Hapa ni wasiojitambua tu ndio watakuamini! CCM pisheni waachieni wenye mtazamo na mawazo mbadala! Hivyo viwanda sera yake ilishashindwa hata kabla ya kuanza! Labda kama ni vile vya kufyatua wasaliti wa vyama vyao, wanajipendekeza na kusifia Yesu wa Lugola kwa kila jambo, Vikundi visivyojulikana vya utekaji na mashambulizi dhidi ya wakosoaji! Hivyo bidhaa zao zimetamalaki kila kona! Ee Mungu Tuepushe na majanga hayo!