technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Hivi wewe kwa nini unapenda sana kuanzisha vijimada visivyo na miguu wala mikono?Ukweli mchungu Lissu ni maarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.
Lisu amesoma nini?!Ukweli mchungua Lissu ni maarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.
Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.
Leo naona wapiga kampeni mmekazana nimesikiaUkweli mchungua Lissu ni maarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.
Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.
Mmeamua kumchafua tu, lakini Lissu ni Messiah hata Herrord afanye nini maandiko yatatimia.Lisu ni muhmin wa kusapoti ushoga.kwa hili tu hatufai
Agiza,nitalipaNausapoti upinzani kwa sana ila sijaona kama wako tayari kushika nchi
Lissu huyu wa "MIGA"Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.
Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.
Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.
Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Hatutaki Rais wa kujaribisha uongozi tunataka Rais asie wanyenyekea wakoloniMmeamua kumchafua tu, lakini Lissu ni Messiah hata Herrord afanye nini maandiko yatatimia.
Mko wewe na nani? Sisi tunamtaka rais anae Linda maslahi ya Watanzania ikiwa ni pamoja na afya zao si rais anae chukua cheap measurements za kusali kwa siku tatu.Hatutaki Rais wa kujaribisha uongozi tunataka Rais asie wanyenyekea wakoloni