BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
EKH (English, kiswahili, History ). Kasoma sana. Akachukua sheriaLisu amesoma nini?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EKH (English, kiswahili, History ). Kasoma sana. Akachukua sheriaLisu amesoma nini?!
Hahahhaa miaka ile ya Nyamongo na Bulyanhulu, aliwatetea kwa pesa zake na kwa muda wake bure!! wakati huo Mwenyekeiti akiwa Bungeni akipiga makofi tu. Nanio mwenye ile speech ya Lissu?Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.
Siku zimeendelea sana na mambo yanabadilika kwa kasi ya ajabu. Zamani watu walikuwa wanaota ndoto usiku wakati wamesinzia, siku hizi mtu anaota ndoto mchana kweupe, mbuzi wanakula majani! Eti TL anamzidi JPM?Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.
Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.
Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.
Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Ulicho andika hapa ni dhihaka au ndio akili yako ionavyo ? Mbona kinyume kabisa na ground? Magufuli kwa sasa ni mtu maarufu sana yawezekana mbali ya ndani ya nchi hata njee ya nchi kwa Afrika. Mjitahidi sana japo kuweka ka ukweli kidogo ili mtengeneze heshima. Sisi wengine tumekuwa Chadema kwa miaka 18 kwa hiyo mapungufu yetu sasa hivi nayaona kwa uwazi sana.Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.
Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.
Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.
Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
wewe na LISSU hamuwezi kamwee bila tashwishwi...Kama JK na JPM wameweza kuwa marais wa nchi hii, nani atashindwa hiyo kazi?
Wewe mtafuta ubunge njoo nakusubiri huku Mwanga na naweza kukupa msaada sana kuanzia tarafa ya Kilomeni, Usangi, Kirongwe, Shinghatini, Kikweni na eneo la Kirya.
Masomo ya kike ya vilaza ukute MTU kasoma HKE naye anajiita mwanaumeEKH (English, kiswahili, History ). Kasoma sana. Akachukua sheria
Sio Lissu tuu, yaani kwa ujumla Chadomo wanamogofya Mkulu, hawataki kabisa awepo kwenye wagombea Urais wa CCM. Japo wengine wanaweka wazi.Nilichogundua wapiga kura wanaomtaka Lissu hawataki Lissu ashindane na Magu ila wanatamani Lissu ashindane na Membe!
Sio Lissu tuu, yaani kwa ujumla Chadomo wanamogofya Mkulu, hawataki kabisa awepo kwenye wagombea Urais wa CCM. Japo wengine wanaweka wazi.
Nakuja aiseee, week ya kwanza ya July 2020 nitakua Usangi, nakuja Mpwa, Shukrani sanaWewe mtafuta ubunge njoo nakusubiri huku Mwanga na naweza kukupa msaada sana kuanzia tarafa ya Kilomeni, Usangi, Kirongwe, Shinghatini, Kikweni na eneo la Kirya.
Maeneo yaliyo baki ni ya mjini matapeli wa kisiasa wengi sana. Yaani watadai hela na suala la kupigiwa kura sahau.
Atagombeaje CHAUSTA wakati chama chake ni CCM?Dalili ya uoga hii
Si umuache lissu aingie mchezoni?
Pia mshauri Membe achukue fomu kupitia CHAUSTA nae agombee kama kweli anao ubavu
Me naona hamna la maana Mana . Mambo aliyofanya hayajaleta positive changes kwangu na watu wengi zaidi hawajaziona izo positive changes.kijijini kwenu umeenda lini mara ya mwisho
Ndiyo ya lissuMasomo ya kike ya vilaza ukute MTU kasoma HKE naye anajiita mwanaume