Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.

Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Upinzani hauna candidate ambaye yuko makini wingi ni waganga njaa tu, siyo Mbowe, Lissu, Nyalandu au yeyote.
 
Namkubali Lissu ni hitaji la sasa la watanzania. Utawala wa awamu ya 5 umetuonyesha umuhimu wa nchi kuendeshwa kwa mujibu wa sheria na katiba na ubinadamu.
Lissu atatupatia katiba mpya Tanzania
Lissu atarudisha heshima na haki ya kila mtanzania itarudi
Lissu anathamini watu na utu na atarejesha umoja wa taifa uliosambaratishwa na awamu hii
Lissu atafanya weledi (professionalism) urudi katika utendaji serikalini na kuondoa siasa na woga wa kijinga uliotamalaki sasa katika utendaji
Lissu atarudisha utawala wa haki na sheria na uhuru wa mawazo na expression
Lissu atathamini wafanyakazi wote na kufanya wapate na kuona thamani ya jasho lao

Go Lissu go.....uwakomboe watanzania.
 
Nyie ndyo mnasababisha huyu mzee afanye mafyokoo ilimradi abaki madarakani.
 
Katika kusoma Biblia Takatifu, agano jipya bila kunukuu injili husika na aya zake, Wakati ule Yesu Kristo ameshitakiwa na Mayahudi kwa Herodi na Herodi kumwona hana hatia, lakini Mayahudi walilazimisha asulibiwe.
Herode, kulingana na mila na Desturi za Kiyahudi, siku ya Pasaka alikuwa anaruhisiwa kumsamehe mfungwa au mtuhumiwa moja. Herodi aliwaambia Mayahudi kuwa amemsamehe Yesu kulingana na madaraka aliyopewa. Mayahudi yalipiga kelele na kusema Mtoe Baraba ambaye alikuwa jambazi sugu na Yesu asulubiwe.
Yesu pamoja na kutokuwa na hatia lakini alisulubiwa na Baraba aliachiwa huru.
Mh. Dr, Rais Makufuli hana hatia na ameifanyia Inchi mambo ambayo ni nadra kwa kiongozi wa Inchi
kuyafanya lakini kwa hulka ya Binadamu atasema asulubiwe.
Tutafakari falsafa za Kitaaluma.
Rais wetu ni Mwanasayansi.
Hulka ya mwanasayansi yeyote Duniani ni Kujenga, kuunda na kukabati/kukavati.
Mchumi na Mwanasiasa hulka yake ni kutafuta kuwafurahisha watu na kupigiwa makofi.
Mwanataaluma ya fedha ni kuweka akiba na mwoga kuingiza pesa kwenye ujenzi au mali za kudumu.
Tulipofika Watanzania, ulikuwa wakati mwafaka kumpata Rais Mwanasayansi ili aijenge Inchi yetu kwa
sababu ilifika mahali kama tungeendelea na uongozi tofauti na huu Inchi hii isingefaa kuishi hasa sehemu kama Dar.
Dar imebadilika kwa kujenga fly overs na kupunguza msongamano
Makao makuu yamehamishiwa Dodoma na kupunguza msongamano huko Dar.
Railway ianaimarishiwa.
Nishati ya umeme inaimarishwa.
Bara bara za lami zinaongezeka
Bandari inaimarishwa.
Makusanyo ya kodi yameongezeka kwa kiasi kikubwa na pesa inatumika vizuri
Ufisadi umekomeshwa.
Nk.
Tumuunge mkono Rais huyu wa kipekee ili atimize ndoto zake kwa manufaa ya Watanzania.
Wale wanaomsuta sasa wakumbuke kuwa siku za usoni jina lake litakuwa LULU kama la Mwalimu Nyerere.
 
Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.

Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
JPM jembe
 
At least leo umefunguka wapi hasa unasimamia. Membe. Kelele zote kumbe ni kumpigania mgombea wako, kitu ambacho hakina ubaya wowote.
Nisichoelewa ni kwa utaratibu gani JPM atamuachia Membe. Unakumbuka juzi kwenye ufunguzi wa Ikulu mpya Mzee Mkapa alisema nini? "Mbele kwa mbele, wala hakuna kurudi nyuma"
Sio kwa bahati mbaya. Membe sijui kama atawahi kuja kuwa Rais. Sio kwa Tanzania hii, maana naona chances zinazidi kufifia siku hata siku
 
Yangu macho lakini jitahidini kusoma nyakati nawakumbusha tu watu wa ufipa...hahahaa kumuondoa magufuli hivi sasa ni sawa na kuchota maji bwawani kupeleka baharini ...Siku zote muda nipo mwalimu mzuri naamini November atatufundisha wote na tutaelewa..Tunahitaji mtu mwenye misimamo na maono makubwa sio inshu ya chama lakini ni swala la mtu mmoja mmoja..Magufuli he is still the best na sijaona dhamira na mipango thabiti ya kuiondoa CCM hivi karibuni..anyway watu wa ufipa you better try hahaaa
 
Ukichanganya na hii AIBU ya "kufisidi" bilioni 1.2 kwa matumizi "binafsi" kila mwezi, imetufumbua macho wengi sana. Njia pekee iliyosalia ni KUTUMIA MABAVU tu, ili kurejea tena Ikulu.
 
Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.

Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais. [emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
nyani haoni kundule, mtu akiwa mshabiki wa Kenge akiona wewe unashabikia Mjusi ana his una matatizo...tujifunze kuishi na tofauti zetu za kisiasa kama tunavyoishi na Korona.
 
Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.

Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
sio Kila anayetoa post humu huwa Ana akili😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
 
Taifa pamoja na mengine linahitaji prestigious katika mambo yake. Rais ndio icon ya nchi ndio maana kauli na matendo yake yanalindwa kwa gharama kubwa sana. Sasa aibu kama hizi huko nje ya nchi mpaka lini? Hatutaki tena, kushindwa kuelewa swali na kujibu swali hizo ni level za katibu kata sio Rais.
Tunataka atakaye simama kusema jambo au kujibu iwe Tanzania imejibu. Jee hapa kuna mtu anaweza kusema Tanzania imejibu zaidi ya kusema atajijua?

Back
Top Bottom