Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.

Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Yaani hata mjinga hawezi kufikiri hivyo, hivi nikuulize wewe ungekuwa Rais halafu mtu akaandika kijinga kama alivyoandika, we we ungejipima? Mara nyingi huwa tunauliza wewe ni kichaa lakini hujibu siyo kichaa lakini nyinyo wengine mnamuona kuwa ni kichaa nafkiri ungekuwa wewe ungejibu ni ndio, ndo maana nasema hata kichaa hawezi kukubali ushauri wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Lisu atashushwa kwenye majukwaa, tusubiri muda utaongea
 
Binafsi namkubali Lissu. Hata hivyo napenda nikukumbushe kauli zenu wenyewe kwamba siasa za sasa si za kujenga hoja bali ni "mvuto" ingawa sielewi mvuto ni nini hasa!
 
Vipi mbona hujaandika kuwa atasaidia Mabeberu kuina rasilimali zetu kwa Fujo?
 
Yaani hata mjinga hawezi kufikiri hivyo, hivi nikuulize wewe ungekuwa Rais halafu mtu akaandika kijinga kama alivyoandika, we we ungejipima? Mara nyingi huwa tunauliza wewe ni kichaa lakini hujibu siyo kichaa lakini nyinyo wengine mnamuona kuwa ni kichaa nafkiri ungekuwa wewe ungejibu ni ndio, ndo maana nasema hata kichaa hawezi kukubali ushauri wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapa naona kama wewe ndio kichaa maana hueleweki unataka kuongea nini.
 
technically
Naunga mkono hoja yako kwa asilimia 100

Hakika ni bora tu akanyoosha mikono kabla ya pambano na kukiri wazi kuwa muziki wa Tundu Lissu hauwezi, kuliko kujitafutia aibu ya kuangushwa vibaya kwenye sanduku la kura!
 
technically
Naunga mkono hoja yako kwa asikimia 100

Hakika ni bora tu akanyoosha mikono kabla ya pambano na kukiri wazi kuwa muziki wa Tundu Lissu hauwezi, kuliko kujitafutia aibu ya kuangushwa vibaya kwenye sanduku la kura!
Tunamtegemea Sirro na Mabeyo
 
Chadema huwa wanapenda kutishia nyau
Afadhali hata ya lema anaweza kupata kura
Huyo lissu huo urais ataupataje wakati ameamua kujilipua?
 
Magifuli kwa Lissu / Lissu atashinda asubui na mapema cha muhimu hapo Independent committee.
Sio tu tume huru, hata kama kwa kupanga mistari au kunyosha vidole Lisu hatoboi, agenda ya kukumbatia wazungu na kushtaki ulaya yeye na zito zimewatupa bora hata Mbowe
 
Hii mada acha kabisa, ni hot kinoma...

Lumumba wamekurupuka wote ni kama panya buku wamechoropoka kwenye mashimo yao maana umekagusa ka - mungu kao...!

Kila mmoja anajipangusa. Wengine wanaposti mara mbili mbili....

Leo hawalali hawa....

Lakini wajue tu kuwa, hata wafanyeje, Mungu akiamua kubadilisha mambo hakuna wa kupinga wala kuzuia....

Ni lazima Pharaoh ashike adbu yake, lazima aserende maana linakuja pigo la 10 ambalo kwa hilo atasema tu, ".....waacheni wachukue...."
 
Back
Top Bottom