Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani.

Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia yatarudi kwako.

Sasa basi, kuepusha dhambi, na kwakuwa jambo hili liligusa moja kwa moja maisha ya watu, ni vyema ukaomba radhi ili roho yako iwe nyepesi.

Mbunge anasema jambo ambalo linaathiri maisha ya watu kuwa kaliongea mara 15 bila utekelezaji. Je, ni chuki? Na kama ni chuki, tunaleteana chuki za kisiasa hadi kufikia hatua ya kuangamiza maisha ya watu? Kufanya watu wateseke?

Haya nimekuunganishia video ili uone kama utaamua kuomba radhi haya, maana jambo hili liliathiri maisha ya watu tena mara kwa mara.

...yani hii clip inatakiwa itumike kwenye mikutano yote iliyobaki ya Lissu na Mdee ...watumie njia anyotumia Lema ya kuweka clip yote kwenye maspika makubwa wakati wa mikutano...na kuijadili kwa kina huku wananchi wakisikiliza kwenye maspika makubwa.....

Hili jambo linatakiwa likemewe kwa nguvu zote na lisipite hivi hivi...maana Halima na Lissu wote wameadhibiwa kwa tuhuma tu za kutokuwa wakweli kwenye matamshi yao...Sasa nao watume ujumbe kwa nchi kwa kuijadili hii clip kwa upana wake na nchi ijue.....
 
Ekewa na ufikiri vizuri juu ya tamko la Mh Magufuli. Kupayuka bungeni kila mwenye mdomo anaweza, hata asiye na akili.

LOBBYING, lobbying, lobbying. Elewa hilo.

Halima hajui kitu lobbying, miaka yote kumi hajawahi ku lobby miradi kwa ajili ya wana Kawe. Muda wake anautumia kuandama na kutiwa mahabusu.

Hana muda wa ku lobby. Vitu haviji kwa kupayuka bungeni.
Umenikumbusha chuoni, hii ni course kabisa inaitwa adivocacy and lobbying, hata upige kelele kiasi gani wananchi wanachotaka kuona ni impact yq hizo kelelem
 
Mbunge hajanisumbua mimi wala mawaziri wangu. Tunamsikia mbunge akiyasema huko bungeni na kuomba majibu kwa waziri.

Je waziri kamdanganya JPM? Hapo Hapo kumbuka JPM katuambia mkichagua mpinzani inakula kwenu na akatoa mfano wa Bunda. Naona labda Kawe nao walikuwa wana adhabu na sasa ili kutimiza nia yake ya kumpaisha Gwajiboy anawadanganya watu wa Kawe ili wamuone Halima hafai.

Katuona mafala anasema maendeleo hayana vyama hapo hapo hataki kusikia wabunge wa upinzani.
Lissu kamchanganya.
 
Ekewa na ufikiri vizuri juu ya tamko la Mh Magufuli. Kupayuka bungeni kila mwenye mdomo anaweza, hata asiye na akili.

LOBBYING, lobbying, lobbying. Elewa hilo.

Halima hajui kitu lobbying, miaka yote kumi hajawahi ku lobby miradi kwa ajili ya wana Kawe. Muda wake anautumia kuandama na kutiwa mahabusu.

Hana muda wa ku lobby. Vitu haviji kwa kupayuka bungeni.
Lobbying sio mwenendo wa uadilifu. Ndio maana watu wa upamde huo kila baya kwenu ni halali. Maendeleo hayapelekwi kwa wananchi mpaka kufanyike lobbying? Ovyo kabisa.......!!!!
 
IMG-20201017-WA0013.jpg
 
Waache tu mama hao walishaziba masikio kwa wapinzani, hizo barabara mbovu tutapita tu maana tumezoea.
 
Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani.

Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia yatarudi kwako.

Sasa basi, kuepusha dhambi, na kwakuwa jambo hili liligusa moja kwa moja maisha ya watu, ni vyema ukaomba radhi ili roho yako iwe nyepesi.

Mbunge anasema jambo ambalo linaathiri maisha ya watu kuwa kaliongea mara 15 bila utekelezaji. Je, ni chuki? Na kama ni chuki, tunaleteana chuki za kisiasa hadi kufikia hatua ya kuangamiza maisha ya watu? Kufanya watu wateseke?

Haya nimekuunganishia video ili uone kama utaamua kuomba radhi haya, maana jambo hili liliathiri maisha ya watu tena mara kwa mara.

Ekewa na ufikiri vizuri juu ya tamko la Mh Magufuli. Kupayuka bungeni kila mwenye mdomo anaweza, hata asiye na akili.

LOBBYING, lobbying, lobbying. Elewa hilo.

Halima hajui kitu lobbying, miaka yote kumi hajawahi ku lobby miradi kwa ajili ya wana Kawe. Muda wake anautumia kuandama na kutiwa mahabusu.

Hana muda wa ku lobby. Vitu haviji kwa kupayuka bungeni.
Ulishaenda Ilala ukaangalia jinsi kulivyo? Kwahiyo Zungu naye alikuwa mahabusu? Rais Magufuli anatumia jukwaa kudanganya waziwazi kwenye maeneo ambayo yalikuwa yamekaliwa na upinzani. Mbaya zaidi uongo wake ni mbaya sana!
Nenda Mbgala na Temeke ndo utaelewa.
Mchukue n Halima ajionee.
 
Mdee miaka 10 haijakutosha tuuu.....nadhani imetoshaaa sasa hebu waachie wengine nao walete maendeleo ya vitu kwa watu wa kawe.
usilazimishe sana kimsingi mdee alipaswa kustaaafu kabisa ubunge ila wanasiasa tabu yao wanataka hadi akataliwe ndio aache.....miaka 10 utadhani hakuna watu wengine duh! halafu maendeleo yenyewe kiduchu! hayalingani hata na miaka 10!!
naona nyota sasa ni ya Gwajimaa, tuache naye apimwe na wananchi kwa miaka mitano tuone nini atafanya
 
Kwa hapo Rais, waziri husika, mkurungezi wa halmashauri husika na wenyeviti wa serikali za mtaaa ndo wakulaumiwa hakika mbunge amewakilisha matatizo ya wananchi wake bungeni.

HALIMA APEWE TENA MIAKA MITANO
 
Mkuu ukasome vizuri maana ya neno lobbying, kimsingi lobbying inafanywa na private groups Kama NGO
Mbunge Ni sehemu ya serikali akiwakilisha mawazo ya wananchi bungeni
Kama mbunge kawasilisha matatizo ya wananchi wake bungeni halafu serikali haijatekeleza ujue hapo Ni uzaifu wa bunge.
Mbunge akiongea bungeni haitaji ku lobby , Bunge linatakiwa lifuatilie utekelezaji wa hoja zilizotelewa na wabunge bungeni
Sasa kwa mfumo wetu mbovu eti mbunge afanye lobbying
Ndio maana cag aliyeondolewa kinyume cha utaratibu alisema Bunge letu ni dhaifu
Mkuu usiwe mshamba.
Wengine tumefika hadi Capitol Hill na kuonana na wajasiriamali na wabunge jinsi wanavyo canvass na kulobby kwa ajili ya issue za spheres zao.
Acheni usomi wa vitabuni, kama Halima, muwe practical.

Katika siasa kuna kitu inaitwa realpolitik, kutambua mpini uko wapi unaoweza kukusaidia.
Piga mayowe kama Halima, hilo linakuwa ushahidi tu kwa kuonyesha waliomchagua, kumbe hajafanya lolote na chochote cha follow up.
 
We baki huko makongorosi kawe haikuhusu
Ekewa na ufikiri vizuri juu ya tamko la Mh Magufuli.
Kupayuka bungeni kila mwenye mdomo anaweza, hata asiye na akili.

LOBBYING, lobbying, lobbying.
Elewa hilo.

Halima hajui kitu lobbying, miaka yote kumi hajawahi ku lobby miradi kwa ajili ya wana Kawe.
Muda wake anautumia kuandama na kutiwa mahabusu.

Hana muda wa ku lobby.
Vitu haviji kwa kupayuka bungeni.
 
Back
Top Bottom