Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

Mwanga n jimbo lililomegwa kutoka same Japo wamejitahidi sana. Hawana uhaba wa shule na vituo vya afya
 
Ukiwa kiongozi lazima uchague maneno ya kuongea, hizi lugha za kutenganisha watu kila kukicha ni mbaya sana.
Ndio maana wasaidizi wake nao wanatumia maneno hayahaya kila kukicha kututenganisha.
 
yeye alikaa Chato miaka mingapi?
Kulikuwa na mbuga? airport? mabenki? mataa ya barabarani?
Tunapita ktk kipindi kibaya sana
 
Majimbo ya ccm
Screenshot_20210225-101002_Facebook.jpg
 
Miaka 10 barabara kilomita 5.
Tena ulikuwa uji..ga wa hali ya juu kumpa ubunge mtu ambaye amechokwa na wananchi wa jimbo la ubungo. Wao wamemstukia kuwa hajawapelekea maendeleo yeyote halafu kibamba wanampokea! Walipoteza miaka na huwa hairudi. Somo la hesabu ni muhimu sana hata katika maisha ya kila siku.
 
Nawe acha unafiki uwe kweli mkweli. Amekuuliza tangu tupate uhuru 1961 mpaka leo miaka60 mbunge wa Kibamba alikua Mnyika? Mbona kipindi kirefu zaidi wabunge wa ccm walikuwepo ni maendeleo gani yalipatikana? Zaidi ya hapo Mnyika alikuasanya kodi?
 
Hii ni jibu kwa #148
 
Back
Top Bottom