Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

Akishakanyaga tu Zanzibar anakuwa kama diwani, kama huamini subiri hiyo tarehe 12 utaona nani rais na amiri jeshi mkuu wa eneo lile, ni rahisi mno kumtambua make sherehe haianzi kama yeye hajafika, atakuwa mwisho kuingia, atakagua gwaride, atapigiwa mizinga,nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mwaka huu atawateulieni Rais wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi wa Jamuhuri ya Muungano ndiye Raisi wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu (TISS, Tanzania Peoples Defence Force, Police Force, Prison, Migration, JKT na nk. viko under his command) lakini anaingia uwanjani wa kwanza, hasalimii wananchi wa taifa lake - akiwa amepanda gari lile la heshima 'jeep iliyowazi', hakagui gwaride....hii haiko sawa
Hapa kuna tatizo la kikatiba.
Wote huliogopa na kujifanya kuwa hawalioni.
 
Back
Top Bottom